Ibara ya 100 ya Katiba ya JMT imewapa wabunge Uhuru wa kujadili Hoja na Mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na Mhimili wala Mtu yeyote. Tusiwaingilie

Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100(1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili.

Ibara ya 100(2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote watakacho jadili wakiwa bungeni.

My take; tuwaache wajadili na kufunguka ili tujue nani ni mwema na nani ni mnafiki.

A VERY BIG NO!!
Bila shaka Wewe ni wale Darasa la 7??? Inaonekana HUJAMWELEWA RAIS MHE. SSH!
Alicgi maanisha ni hivi: HILI NI BUNGE LA BAJETI HIVO WABUNGE WANATAKIWA KUJIKITA KWENYE HOJA ZA BAJETI KWA AJILI YA MSTAKABALI NA MAPANA YA UCHUMI NA MAENDELEO YA NCHI YETU!!
Hivi hiyo IBARA (100-2)NDO INARUHUSU MBUNGE yeyote asimame na KUTUKANA Wabunge wa Upinzani au wenye mtazamo tofauti na yeye ikiwemo na wale wa CCM....,!!!
 
Sijaenda. Lakini ninajua ili liwe Bunge (Parliament) Rais lazima awe included, tofauti na hapo inakuwa National Assembly.
Uko sahihi parliament ina include president of republic, national assembly excludes president
 
Hayo unayasema wewe. Katiba ni sheria kuu ya nchi. Hakuna aliye juu ya katiba.
Mbona hii lugha hamkumwambia Mwendazake JPM?? Mama kuingia tu imekuwa NONGWA? JPM alikanyaga Katiba ya JMT mara ngapi?? Baba wa Taifa Mwl. Nyerere(RIP) alisema hii Katiba yetu ya JMT imempa Rais madaraka/mamlaka makubwa sana anaweza kufanya chochote au lolote na hakuna wa kumhoji!!
Kumbuka Spika na Naibu wake majina yao yanapendekezwa na Rais aliyeko madarakani hivo Spika na Naibu wake hawana lolote la kubadilisha alichosema Rais baali KUTEKELEZA TU....!!!
 
We panya tu huna lolote na vingereza vyako vya uchochoroni ukabila na usukuma ndio vinakusumbua we amini huyo mungu mtu wenu analiwa na funza huko kama unampenda sana nenda kalale pembeni ya kaburi lake

Ametesa sana wasio na hatia huyu huku nyie wafuasi wake mkimshangilia kwa mampambio na vifijo , anajifanya anamaneno mazuri mdomoni kumbe ni shetani wakutupwa kwenye matendo na wajinga wa aina yako mkamfurahia,

Kwa kweli asante sana mungu kwa kumuondosha huyu mtu angeliharibu sana taifa hili kama ambavyo sahizi tunahangaika hapa na wafuasi wake kama wewe mlio aminishwa kwamba hakuna rais apaswaye kuabudiwa ila magufuli sasa kafa mnaanza kumuhujum Rais samia inamaana hamjakubali kwamba mungu mtu wenu kafa?
Haya yanatoka wapi ndugu?
 
Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100(1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili.

Ibara ya 100(2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote watakacho jadili wakiwa bungeni.

My take; tuwaache wajadili na kufunguka ili tujue nani ni mwema na nani ni mnafiki.
Ivi kumbe hizi ibara zinafanya kazi wakiguswa wabunge
 
Haya yanatoka wapi ndugu?
Yanatokea huko huko mmelishwa maneno mkaaminishwa ujinga leo mnaanza kumtafutia sababu mama watu ambaye kapewa nchi kwa mujibu wa katiba kabisa nini kinafanya mumchukie kama sio roho ya ubinafsi mliyo pandikizwa na magufuli?

magufuli kafanya mazuri kwenye ujenzi wa miundo mbinu hilo halina ubishi lakini sumu aliyo anza kuipanda kwa wafuasi wake ni mbaya sana

Magufuli Amewatengeneza wafuasi wake kuwa wazalendo kwake badala ya kuwa wazalendo kwa nchi kitu bacho nikibaya sana sana bora hata asinge jenga miundo mbinu ila akaliunganisha taifa pamoja pengine ingekuwa na afya zaid

Alikuwa mnafiki na mlaghai wa maneno sana huku anawaambia watu maendeleo hayana chama, huku anawambia msipo niletea mbunge wa ccm sileti maendeleo , huku anasema msema kweli ni mpenzi wa mungu huku anakwepa ukaguzi wa CAG kwa kukimbizia wizi wake ikulu na kwenye jeshi ,

na ukisema ukosoe pale unapo ona kakwama unapotea kama beni saa8 au unamiminiwa risasi mchana kweupee kama lissu,watu walifungwa midomo hawasemi kitu sasa wamepata uhuru wanayaongea yale waliyo zibwa midomo kuyaongea mnatulazimisha kumuenzi eti kwa mema , shit ........, hivi unanishawishi vipi wewe kwamba eti huyu mtu alikuwa ni baraka kwa watanzania kama sio ulikuwa mkosi.?
 
View attachment 1756022

Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100(1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili.

Ibara ya 100(2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote watakacho jadili wakiwa bungeni.

My take; tuwaache wajadili na kufunguka ili tujue nani ni mwema na nani ni mnafiki.
Mtu akileta ubishi,huyo ni mchawi
 
Mbona hii lugha hamkumwambia Mwendazake JPM?? Mama kuingia tu imekuwa NONGWA? JPM alikanyaga Katiba ya JMT mara ngapi?? Baba wa Taifa Mwl. Nyerere(RIP) alisema hii Katiba yetu ya JMT imempa Rais madaraka/mamlaka makubwa sana anaweza kufanya chochote au lolote na hakuna wa kumhoji!!
Kumbuka Spika na Naibu wake majina yao yanapendekezwa na Rais aliyeko madarakani hivo Spika na Naibu wake hawana lolote la kubadilisha alichosema Rais baali KUTEKELEZA TU....!!!
Umesahau hata hayati JPM alisema hana mamlaka ya kuwaingilia wabunge wakiwa bungeni?
 
Back
Top Bottom