Ibada ya kweli kwa Muafrika ni tambiko

Wajapan wana dini yao wa korea ...kuna mataifa kibao sio wakristo wala waislamu ...hao wanaosambaza dini wanaua watoto wadogo palestine, wanatubagua kwa rangi etc
Mkuu hizo nchi ukristo upo na uislamu upo pamoja na dini zengine,labda nikuulize India dini yao ni ipi na Korea dini yao ni ipi?
 
kuna babu yetu yeyote mwenye historia ya kufanya mambo aliyoyafanya yesu
kupaa
kufufua watu
kutembea juu ya maji
kulisha watu elfu 5
nk,nk.nk
Mwanamalundi alikuwa na uwezo wa kupanda leo kavuna leo. Aliweza kuvuka ziwa au bahari kwa muda anaotaka. Ni swala la kufufua tu ndilo laweza kuonyesha maajabu juu ya yesu ila swala la kulisha watu kibao hilo hata wacheza mazingaombwe wanabadili karatasi kuwa biskuti.
 
Yupo mwingine alikuwa anaitwa Simon Kimbangu huyu aliuawa na wazungu na akafufuka siku ya tatu Kama yesu,wapo wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuacha mila zetu ni utumwa uliokubuhu! Eti ubatizwe na kupewa jina la kizungu na kushangilia kama zuzu! Matambiko yetu ndio msingi wa maisha ya waafrika. Turudi kwenye matambiko ili kupunguza majanja tunayojitakia wenyewe.
 
Musa alimuuliza mungu ktk kitabu cha Kutoka 3:6 wewe ni nani? kasome uone jinsi Mungu alivyo jitambulisha kwa Musa ndiyo utaelewa kuwa waafrika tulikuwa sawa na bado tuko sawa ktk imani ya Mungu.
Mungu alijitambulisha kupitia mizimu na si vingine. alimwambia Musa kuwa mimi ni Mungu wa Baba zako, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka,Mungu wa Yakobo. Hawa wakati Mungu anajitambulisha kwake walikuwa wametulia kabulini wote. Swali kwenu kwanini Mungu asitambulishe kwa jina lake au aseme niko hata mbingu ya 90 hivi au kivyovyote ana anaamua kujitambulisaha kwa watu waliolala kaburini?
 
Tuachane na jadi za kizungu na kiarabu, turudi kwenye jadi yetu Waafrika. Eti mtolee Mungu sehemu ya mali yako! Mnatoa wengi ila wanafaidika wachache!
 
Musa alimuuliza mungu ktk kitabu cha Kutoka 3:6 wewe ni nani? kasome uone jinsi Mungu alivyo jitambulisha kwa Musa ndiyo utaelewa kuwa waafrika tulikuwa sawa na bado tuko sawa ktk imani ya Mungu.
Mungu alijitambulisha kupitia mizimu na si vingine. alimwambia Musa kuwa mimi ni Mungu wa Baba zako, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka,Mungu wa Yakobo. Hawa wakati Mungu anajitambulisha kwake walikuwa wametulia kabulini wote. Swali kwenu kwanini Mungu asitambulishe kwa jina lake au aseme niko hata mbingu ya 90 hivi au kivyovyote ana anaamua kujitambulisaha kwa watu waliolala kaburini?
Walikuwa wakisikia matendo makuu Mungu aliyoyatenda kupitia babu zao hivyo basi ili waweze kuelewa vizuri pasi na shaka kwamba hayo maagizo yametoka kwa nani, Mungu akajitambulisha kwao kwa namna hiyo.
 
Dunia imeshapita hiyo stage ya matambiko sasa hivi ukiumwa mwenyewe unajisogeza kwenye vifaa vya kisasa Hosp.

Its the world of science and tech in supervision of Almighty God.

Back
Top Bottom