Ibada ya kumuaga Mhe Regia Mtema; Shukrani kwa wana JF!

Josephine

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
786
812
Ndugu wana JF,

Naomba kutoa shukrani kwa wana mtandao wote, walioshiriki ibada ya mwisho kwa mpendwa wetu.

Nasikitika kutokana na nafasi yangu sikuweza kuwa live kuwapa kilichijiri. Nilifurahi kukutana na wana JF kadhaa na mtawekewa picha za matukio muda si mrefu.

Karibuni tena kesho Karimjee tuweze kutoa heshima za mwisho.

Kutokana na protokali watu wote wanapaswa kuwa ndani not late than saa tatu asubuhi. Mwisho wa kuaga mwili ni saa tano na tano unusu safari ya Ifakara itaanza.
 
Nakushukuru sana Josephine, tafadhali weka hizo picha, tunazisubiri...wengine tuko mchagoni mwa nchi hii, tunategemea sana ripoti zenu!
 
Tunashukuru sana Dada kwa kutujuza kuhusu kesho kule Karemjee na kujisi safari itakavyoanza kuelekea Ifakara, tunaomba mliokaribu mwendelee kutupa taarifa za maendeleo ya msiba na mzishi kwa ujumla.

Lala salama Dada Regia kweli kila tukikukumbuka machozi hayaachi kutulengalenga lakini kazi ya Mungu haina makosa.
 
Ndugu wana JF,

Naomba kutoa shukrani kwa wana mtandao wote, walioshiriki ibada ya mwisho kwa mpendwa wetu.

Nasikitika kutokana na nafasi yangu sikuweza kuwa live kuwapa kilichijiri. Nilifurahi kukutana na wana JF kadhaa na mtawekewa picha za matukio muda si mrefu.

Karibuni tena kesho Karimjee tuweze kutoa heshima za mwisho.

Kutokana na protokali watu wote wanapaswa kuwa ndani not late than saa tatu asubuhi. Mwisho wa kuaga mwili ni saa tano na tano unusu safari ya Ifakara itaanza.
Asante Josephine kushukuru!. Mimi ni miongoni mwa wana jf ambao niko frustrated kwa sababu nilikuwa na too great expectations kuwa jf can do better zaidi ya just to attend!.
 
Back
Top Bottom