Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Iko poa tu.
Ndio, kumbusu mtumishi wa Mungu ni baraka kubwaHaina Shda, Busu Ni Ishara Ya Upendo. Yule Mwanamke Alimbusu Yesu Na Kumfuta Miguu Yake Kwa Machozi. Papa Had Leo Anabusu Wa2 Miguu.
Yaani wanakwaya ni balaa, wanatiana mimba, wanatengwa na kanisa, wanaomba toba, wanarudishwa kundini, wanarudia kwenye kwaya, maisha yanaendelea. Inaitwa "re-cycling of wanakwaya"Hao jamaa wa kwaya, ni wabayaa kwa totoz..