Ianzishwe operesheni zomea mary chitanda na ded wa arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ianzishwe operesheni zomea mary chitanda na ded wa arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tanga kwetu, Jan 10, 2011.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Kwa vile hawa (Katibu wa CCM wilaya ya arusha, Mary Chitanda na Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Arusha ambaye ndie msimamizi wa uchaguzi) walikuwa vyanzo za vurugu za uchaguzi wa meya yaani vyanzo vya vifo hapo A-town, napendekeza picha zao tena colored zibandikwe mitaani ili watu wawafahamu vizuri kwa sura na kisha wazomewe popote watakapokuwa wanapita arusha.
   
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono
   
Loading...