Ianzishwe kwanza mikoa mipya ya Lupaso, Butiama na Mkuranga ndipo Chato iwe mkoa

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,569
50,393
Ndiyo! Kwani marais waliotoka maeneo hayo Wana tofauti gani na yule aliyekuwa anatokea Chato?


Tuache uzwazwa tuokoe fedha za walipa kodi.
 
Hao misukule wa mwendazake wasahau kabisa kuhusu Chato kuwa mkoa,kwa sasa viwanja hapo chato vitarudi bei yake ya awali mwaka <2015
 
Back
Top Bottom