Ianzishwe kampeni ya kitaifa wakati ukifika wabunge wa CCM waliopo Bungeni awamu hii wote wasichaguliwe tena

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,986
Kama inafika hatua tunasoma humu mitandaoni kuwa hata CAG analilaumu Bunge kwa kushindwa kuhoji baadhi ya mambo, hali hii inatosha kutufanya tufikie uamuzi wa kutowarudisha Bungeni wabunge wa CCM mwaka 2020 maana kelele zinazopigwa kuhusu utendaji wa hili Bunge sasa zimekuwa nyingi.

Mimi nashauri iwapo watashindwa kuhoji matumizi ya fedha za umma ambayo yameripotiwa na CAG kufikia bilioni zaidi ya 200, basi hatuna haja ya kuwarudisha katika Bunge lijalo kwa wale watakaogombea na wakati wa kampeni ukifika tupige kampeni ya kitaifa wabunge hawa wote wasirudi tena Bungeni.

Mpaka sasa hata hoja binafsi ya Bashe kuhusu watu wasiojulikana nayo sijui imeishia wapo na sijui kama kuna anaehoji juu ya hili.

Binafsi kwa mtazamo wangu naona angalau Bashe ndio mbunge pekee wa CCM anaejitahidi ingawa nae ana mapungufu yake lakini ni bora yeye kuliko wengine.

Hivi sasa swala la Bunge live hakuna na juhudi za wabunge hawa kudai lirudishwe mimi sizioni isipokuwa ni wabunge wa upinzani tu ndio utawasikia wakihoji kuhusu jambo hili ila hawa waheshimiwa wengine sijui kama kwakweli wanadai Bunge live lirudishwe.

Najiuliza hivi wabunge kwa umoja wao wakikomaa Bunge live haliwezi kurudishwa?

Je, Bunge letu hili limewahi kujadili na kufikia azimio kuwa Bunge live lirudishwe?

Kweli kuna haja ya kuwarudisha Bungeni wabunge wa aina hii katika Bunge lijalo?

Binafsi nasema hapana tusiwarudishe wote bali tuchague wengine japo inawezekana kuna mazuri wanafanya huko majimboni mwao.

Tupiganie Tume Huru kwa sasa ili haya mambo yasijirudie tena 2020.

Wazee wa kujipendekeza, wanashindwa kujua wajibu wao, wanashindwa kuhoji mahela yalioliwa nje ya bajeti ya bunge!? Wamebakisha marufuku ya kutaja deni la taifa hadharani na kujadili pia! Hawa viwavi wanakula posho ya bunge bure kabisa, hivi kwanini lisifutwe? Maana linazidi kuchukiza!
 
Wabunge wa CCM kwa wingi wao wamepitisha sheria kandamizi za kuumiza wananchi

Moja, Kupora mafao na kuondoa FAO LA Kujitoa ili wanyonge wakose haki

Pili, Kukubali sheria ya kufunga blogs, online TV na internet cafe
 
Kama inafika hatua tunasoma humu mitandaoni kuwa hata CAG analilaumu Bunge kwa kushindwa kuhoji baadhi ya mambo, hali hii inatosha kutufanya tufikie uamuzi wa kutowarudisha Bungeni wabunge wa CCM mwaka 2020 maana kelele zinazopigwa kuhusu utendaji wa hili Bunge sasa zimekuwa nyingi.

Mimi nashauri iwapo watashindwa kuhoji matumizi ya fedha za umma ambayo yameripotiwa na CAG kufikia bilioni zaidi ya 200, basi hatuna haja ya kuwarudisha katika Bunge lijalo kwa wale watakaogombea na wakati wa kampeni ukifika tupige kampeni ya kitaifa wabunge hawa wote wasirudi tena Bungeni.

Mpaka sasa hata hoja binafsi ya Bashe kuhusu watu wasiojulikana nayo sijui imeishia wapo na sijui kama kuna anaehoji juu ya hili.

Binafsi kwa mtazamo wangu naona angalau Bashe ndio mbunge pekee wa CCM anaejitahidi ingawa nae ana mapungufu yake lakini ni bora yeye kuliko wengine.

Hivi sasa swala la Bunge live hakuna na juhudi za wabunge hawa kudai lirudishwe mimi sizioni isipokuwa ni wabunge wa upinzani tu ndio utawasikia wakihoji kuhusu jambo hili ila hawa waheshimiwa wengine sijui kama kwakweli wanadai Bunge live lirudishwe.

Najiuliza hivi wabunge kwa umoja wao wakikomaa Bunge live haliwezi kurudishwa?

Je, Bunge letu hili limewahi kujadili na kufikia azimio kuwa Bunge live lirudishwe?

Kweli kuna haja ya kuwarudisha Bungeni wabunge wa aina hii katika Bunge lijalo?

Binafsi nasema hapana tusiwarudishe wote bali tuchague wengine japo inawezekana kuna mazuri wanafanya huko majimboni mwao.

Tupiganie Tume Huru kwa sasa ili haya mambo yasijirudie tena 2020.

Ungejua maghufuli anajipanga kuwasimamisha wabunge wake kwa nguvu kama alivyofanya kwa mtulia wala usingeongea, watu kama wakina bashe wajiandae kisaikolojia
 
Uchaguzi wa Siha Na kinondoni majimbo mawili umewashinda mtaweza ya nchi nzima?
 
WEWE SALARY, BHANGI....utakufa kwa kihoro....Hivi wasichaguliwe WABUNGE WA CCM afu wachaguliwe wabunge wa chama gani???? Bhas TUSEME wachAguliwe wabunge wa CHADEMA aina ya LEMA na MSELA MDEE.....kweli tutakuwa na TAIFA LA AINA GANI,,,,maaana hawa WACHACHE TU NI JANGA KWA TAIFA
 
Kama inafika hatua tunasoma humu mitandaoni kuwa hata CAG analilaumu Bunge kwa kushindwa kuhoji baadhi ya mambo, hali hii inatosha kutufanya tufikie uamuzi wa kutowarudisha Bungeni wabunge wa CCM mwaka 2020 maana kelele zinazopigwa kuhusu utendaji wa hili Bunge sasa zimekuwa nyingi.

Mimi nashauri iwapo watashindwa kuhoji matumizi ya fedha za umma ambayo yameripotiwa na CAG kufikia bilioni zaidi ya 200, basi hatuna haja ya kuwarudisha katika Bunge lijalo kwa wale watakaogombea na wakati wa kampeni ukifika tupige kampeni ya kitaifa wabunge hawa wote wasirudi tena Bungeni.

Mpaka sasa hata hoja binafsi ya Bashe kuhusu watu wasiojulikana nayo sijui imeishia wapo na sijui kama kuna anaehoji juu ya hili.

Binafsi kwa mtazamo wangu naona angalau Bashe ndio mbunge pekee wa CCM anaejitahidi ingawa nae ana mapungufu yake lakini ni bora yeye kuliko wengine.

Hivi sasa swala la Bunge live hakuna na juhudi za wabunge hawa kudai lirudishwe mimi sizioni isipokuwa ni wabunge wa upinzani tu ndio utawasikia wakihoji kuhusu jambo hili ila hawa waheshimiwa wengine sijui kama kwakweli wanadai Bunge live lirudishwe.

Najiuliza hivi wabunge kwa umoja wao wakikomaa Bunge live haliwezi kurudishwa?

Je, Bunge letu hili limewahi kujadili na kufikia azimio kuwa Bunge live lirudishwe?

Kweli kuna haja ya kuwarudisha Bungeni wabunge wa aina hii katika Bunge lijalo?

Binafsi nasema hapana tusiwarudishe wote bali tuchague wengine japo inawezekana kuna mazuri wanafanya huko majimboni mwao.

Tupiganie Tume Huru kwa sasa ili haya mambo yasijirudie tena 2020.

Anzisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom