Huyu mama ni charlatan. Usiandike maneno ya kugawa watu.Wanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.
Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?
Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala hujasukumizwa Wallah.View attachment 1736932
Sauti@Asee
Uyu dada skumtrgemea yaani Kumbe ndo alivyo ? Mnh”
Suti imevuja