Iam Lonely

Mungu akutie nguvu na akupe busara na subra katika kipindi hiki kigumu. Kumbuka mlango mmoja ukufungwa mwengine unafunguliwa. It may take time, but in the end you will prevail. Kuwa karibu na Mungu wako na usiache kumwomba
 
Pole sana! Samahani "kufarijiwa kivipi"??


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Hahahah et jukwaa la sheria liko mbali! Pole bishost jipe moyn kuwa macho na hao wafariji usijegegedwa buree...
Funguka kidogo manake jukwaa la sheria nalo liko mbali sanaa!

Pole sana aisee, dawa anza biashara, ukikaa idle utaikumbuka sana kazi!
 
Sababu kubwa ni zile nilizozitaja kwenye jukwaa la sheria. Nimesimamishwa kazi najihisi mpweke sana. Any one wa kunifariji hapa jamani.
Dorrice poleee...ni nini ungependa kuwa unafanya in th name of kufarijiwa. Labda unaeza mpata mzabzab mwenye interest kama zako
 
Last edited by a moderator:
Kama pia alivyosema Lara1, on the other side anza kuangalia jinsi gani utaweza kujiendeleza mwenyewe kama kibiashara nk ili ujiajiri mwenyewe just in case the worst happen. Keep your head up and don't give up
 
Mungu akutie nguvu na akupe busara na subra katika kipindi hiki kigumu. Kumbuka mlango mmoja ukufungwa mwengine unafunguliwa. It may take time, but in the end you will prevail. Kuwa karibu na Mungu wako na usiache kumwomba

Asante sana kwa ushauri wako
 
pole sana dorice. Mwenyezi Mungu anayetoa neema kwa watu wengine wenye mahitaji mazito na yasiyobebeka atakusaidia na kukupatia kazi nyingine nzuri na yenye kipato kikubwa zaidi.

chukua fao lako la kujitoa anzisha mradi kama IDEAS hazipo karibu tembelea jukwaa la biashara na ujasiliamali utapata pa kuanzia wakati unasubiri kazi yako ambayo Mola atakupa soon.
 
Back
Top Bottom