Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 737
Wakuu nichukue fursa hii kuwatakia wana jf wote Christmas njema ambayo imebakia masaa kadhaa kabla ya kuanza kusherekewa. Kutoka kwangu nawatakia Christmas yenye heri na fanaka.
The same wishes to you .... kama hutojali neno "marry" hapo katika title libadilike na lisomeke "merry" .... pole kwa usumbufuWakuu nichukue fursa hii kuwatakia wana jf wote Christmas njema ambayo imebakia masaa kadhaa kabla ya kuanza kusherekewa. Kutoka kwangu nawatakia Christmas yenye heri na fanaka.
Ahsante mkuu. Ngoja niwaombe mods warekebisheThe same wishes to you .... kama hutojali neno "marry" hapo katika title libadilike na lisomeke "merry" .... pole kwa usumbufu
Itakuwa ni jambo la busara ... by the way asante kwa mwitikio wako chanya kuhusu hayo marekebishoAhsante mkuu. Ngoja niwaombe mods warekebishe
Thanks mkuuNa wewe pia