I wish Sana kupata mdada mcheshi/customer care/kutangaza huduma ili ku capture new customers

keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,896
2,000
Habarini wanajukwaa. Poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga Nchi yetu Tanzania.

Moja kwa moja kwenye maada. Mie Kuna vinywaji napewa na kiwanda kusambaza eneo moja hapa mza mjini. Nafungua store like maji,juice,soda and like. Kazi nayofanya ni kuwazia watu wa madukani,vibandani na wote yaani inatakiwa Ilo eneo niliteke kwa kwa kuwauzia Mana agent ama wakala ni mie mwenyewe.

Wazoefu wa hizi Mambo wanajua.
Kama Mambo yakienda poa jumatatu naletewa mzigo na branch ya kiwanda iliyoko hapa mza.

Ninaomba nipate mdada ambaye atakayekuwa mchangamfu na anayeipenda Sana kazi yake iyo ya kusaka wateja,kuwahabarisha kuwa saivi tupo karibu na nyie ni suala la kupiga simu unaletewa bidhaa,nitakuwa na vijana wa matoroli kulingana na uhitaji wa wateja na kazi inavyoenda.

Kuwapa mawasiliwano pia Bei yetu kidogo inakuwa chini tofauti na wanaayouziwa na wenye maduka ya jumla Mana wao sio maajenti,hata hao wa maduka ya jumla tutawauzia.

Jamani huyo mdada awe presentable,rangi nyeupe kipaumbele Mana ili eneo wenyeji wake wanatoa ng'ombe wengi kwa binti wa Kariba iyo.

Kikubwa ajue marketing tuwe mpaka na catalagoue ya wateja na uwezo wao, promosheni kwa wateja wetu,zawadi,yaani kiufupi ni marketing tupu. Tukishakuwa na mawasiliwano Yao inakuwa ni kupiga simu tu na kuletewa mzigo basi

Naombeni mtu ambaye tutasaidiana naye hii kazi.
Malipo ni maelewano. Akiwa mbunifu atapata motisha zaidi.

Email ni realtanzanian@yahoo.com
Hayo ni mawasiliwano.
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,115
2,000
Mza ndio wapi mkuu keisangora ?

Umeelezea kazi vizuri sana upande wako ila upande wa unayemtaka hujasema chochote kuhusu muda na siku za kazi wala malipo.

Umesema tuu ni maelewano, lakini huoni tukielewana hapahapa inakua powa zaidi☺☺?
 
Ni mwanza.muda wa kazi ni kuwepo ofisini saa mbili kamili na kutoka saa 10
Jumamosi saa 5 na jumapili anapumzika.
Masaa ni yale Yale 45 kwa wiki kwa mtumishi wa kawaida tu Mana naye ni binadamu.
Kama muda unahitajika nitakuwa mwenyewe.
Malipo Nina Imani ethics huwa haziruhusu kuweka malipo hàdharani.
Mana mtu ambaye ni passion yake hataangalia pesa Bali kazi.
Pia kumbuka pesa ama malipo ni reward after performing some duty to satisfactory level required by who employed you.
Ingawa twaweka pesa mbele.
Don't focus on Money but focus on process of acquiring it.
Thank you kwa maoni yako
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,896
2,000
Mshahara sh. ngapi??
Nina Imani anayetaka kazi haulizi mshahara. Mana Kuna watu wako willing kujitolea Sasa hao tunawaitaje.
P
Salary ni ama pesa ni reward,mie nitakuambiaje kuwa salary ni wakati sijaona performance yako.
Nilikuambia milioni wewe unaweza ukanizalishia sh ngapi kwa njia iyo niliyoitengeneza.
Na always kumbuka unazalisha nyingi ndilo unalipwa kutokana na ulichozalisha.
Tell me what value you'll add to my work and clients wangu.
Mie mwenyewe ni mtu wa mfumo 9/5 Sasa naanza kuona tunapokoseaga.

Remember you don't get paid by an hour but you get paid by your value you add to the corporation/individual sole proprietor.
Ama nakosea.
Niambie nitakayokulipa wewe utaizalisha Mara ngapi lakini.
 
Tmuller

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
2,098

Taja mshahara, posho na viofa vingine watu wachangamkie fursa.

Mambo ya tusipopata faida sikulipi yashapitwa na wakati.

La sivyo tafuta ndugu yako.
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,115
2,000
Ni mwanza.muda wa kazi ni kuwepo ofisini saa mbili kamili na kutoka saa 10
Jumamosi saa 5 na jumapili anapumzika.
Masaa ni yale Yale 45 kwa wiki kwa mtumishi wa kawaida tu Mana naye ni binadamu.
Kama muda unahitajika nitakuwa mwenyewe.
Malipo Nina Imani ethics huwa haziruhusu kuweka malipo hàdharani.
Mana mtu ambaye ni passion yake hataangalia pesa Bali kazi.
Pia kumbuka pesa ama malipo ni reward after performing some duty to satisfactory level required by who employed you.
Ingawa twaweka pesa mbele.
Don't focus on Money but focus on process of acquiring it.
Thank you kwa maoni yako

Asante kwa jibu japo umejipendelea mwenyewe
Kutangaza mshahara sio kosa ni kitu kinachoweza kukupa mtu sahihi kwa kazi yako
Passion bila pesa hapo unajiibia ndugu, kama unavyofanya biashara yako ili upate pesa ndivyo mfanyakazi wako anataka apate ujira
Kwa hiyo ungeweka hiyo reward plan yako ingeweza kuwa motisha kwa watu sahihi
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,896
2,000
Asante kwa jibu japo umejipendelea mwenyewe
Kutangaza mshahara sio kosa ni kitu kinachoweza kukupa mtu sahihi kwa kazi yako
Passion bila pesa hapo unajiibia ndugu, kama unavyofanya biashara yako ili upate pesa ndivyo mfanyakazi wako anataka apate ujora
Kwa hiyo ungeweka hiyo reward plan yako ingeweza kuwa motisha kwa watu sahihi
Mdada aliyesoma B.A in account and marketing range Yao ni ngapi.
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
14,437
2,000
Mkuu sisi HR tunajua kila kazi inaambatana na ujira kwaio unapaswa kusema ili kuvutia competitive employees

Wage + other benefits.

Otherwise unatafuta kibarua au co-owner
 
gkasambo

Member
Apr 12, 2017
40
95
Habarini wanajukwaa. Poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga Nchi yetu Tanzania.
Moja kwa moja kwenye maada.
Mie Kuna vinywaji napewa na kiwanda kusambaza eneo moja hapa mza mjini.
Nafungua store like maji,juice,soda and like. Kazi nayofanya ni kuwazia watu wa madukani,vibandani na wote yaani inatakiwa Ilo eneo niliteke kwa kwa kuwauzia Mana agent ama wakala ni mie mwenyewe.
Wazoefu wa hizi Mambo wanajua.
Kama Mambo yakienda poa jumatatu naletewa mzigo na branch ya kiwanda iliyoko hapa mza.

Ninaomba nipate mdada ambaye atakayekuwa mchangamfu na anayeipenda Sana kazi yake iyo ya kusaka wateja,kuwahabarisha kuwa saivi tupo karibu na nyie ni suala la kupiga simu unaletewa bidhaa,nitakuwa na vijana wa matoroli kulingana na uhitaji wa wateja na kazi inavyoenda.
Kuwapa mawasiliwano pia Bei yetu kidogo inakuwa chini tofauti na wanaayouziwa na wenye maduka ya jumla Mana wao sio maajenti,hata hao wa maduka ya jumla tutawauzia.

Jamani huyo mdada awe presentable,rangi nyeupe kipaumbele Mana ili eneo wenyeji wake wanatoa ng'ombe wengi kwa binti wa Kariba iyo.
Kikubwa ajue marketing tuwe mpaka na catalagoue ya wateja na uwezo wao, promosheni kwa wateja wetu,zawadi,yaani kiufupi ni marketing tupu.
Tukishakuwa na mawasiliwano Yao inakuwa ni kupiga simu tu na kuletewa mzigo basi

Naombeni mtu ambaye tutasaidiana naye hii kazi.
Malipo ni maelewano. Akiwa mbunifu atapata motisha zaidi.

Email ni realtanzanian@yahoo.com
Hayo ni mawasiliwano.
Nina jirani yangu hapa mdada ni mrembo hata miss Tanzania hamfikii ni muiraki toka arusha, kiufupi ana sifa zote ambazo ww unazitaka na yupo tayar kufanya hiyo kazi, lkn makazi yake yapo Dar na mtu hawez funga safari bila kujua maslahi ya kazi atalipwaje

Kama hutojali nitajie malipo hata DM
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom