I wish Kikwete akiingia awarudishe Mawaziri wasio perform ili njia iwe nyeupe 2010

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
I wish Kikwete akiingia madarakani awaingize mawaziri wasio perform kama akina Masha, Kamala, n.k ili mabadiriko tunayoyataka hata vijijini wayaone. Yaani ikiwezekana ampe Rizwani Uwaziri tu ili harufu yake imfikie kila mtu. Ili ifikapo 2015 tusitumie nguvu sana
 
Back
Top Bottom