I wish Kikwete akiingia awarudishe Mawaziri wasio perform ili njia iwe nyeupe 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I wish Kikwete akiingia awarudishe Mawaziri wasio perform ili njia iwe nyeupe 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Johnsecond, Nov 4, 2010.

 1. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  I wish Kikwete akiingia madarakani awaingize mawaziri wasio perform kama akina Masha, Kamala, n.k ili mabadiriko tunayoyataka hata vijijini wayaone. Yaani ikiwezekana ampe Rizwani Uwaziri tu ili harufu yake imfikie kila mtu. Ili ifikapo 2015 tusitumie nguvu sana
   
Loading...