I WISH CUF AND CCM HAPPY MAJUNGU DAY with their coalition party CUM

eliesikia

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
694
Points
1,000

eliesikia

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
694 1,000
Kwa kweli nimesikitika kusikia chama kipya cha CUM kikiundwa nyuma ya mlango na ikiwa na malengo ya kuunda chama kabisa kule zannzibar...
CUM==Chama cha Udini na Majungu(CUF & CCM)..

Sio mbaya kila la kheri na wadanganyika wawaabudu kama walivyozoea.. Aisee siamini kama wadanganyika wameanza kunyweshwa sumu mapema yooote hiii.... Kisa ni kutafuta dawa kwa CHADEMA bara na Zanzibar...
Yoote ajuaye atafika tuu lakini alaaniwe kama wamepanga kuharibu ukweli na uongo kupewa panga...

Kila la kheri na hoja sina tena...

Inshaalah!!!
 

eliesikia

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
694
Points
1,000

eliesikia

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
694 1,000
duh,sijui tunaenda wapi watanzania,naona viongozi wetu wanatamani maisha ya majirani zetu
Naona wanakosea njia badala ya kwenda uani wameamua kupigia kwenye kichaka... Kila mtu anaona yanayotokea hasa mahasimu wawili wanapoamua kuungana kumuumiza hasimu wa wahasimu:embarrassed:
 

Forum statistics

Threads 1,392,128
Members 528,544
Posts 34,099,528
Top