I wish all Tanzanians all over the World a Merry X-mas and a Happy New Year of 2011

Status
Not open for further replies.

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
Hamujambo jambo humu wapenzi wote wa chadema na hata wa kile chama kingine cha maf…. Majambazi, Wizi na wachakachuaji wa kura? (Chadema wameshawasha moto wa Katiba mpya hakuna wa kuuzima na ni lazima katiba mpya ipatikane kabla ya 2015) wapenzi wa Arsenal (KKY bado tunasuasua tu!:angry:…but on Monday we'll take care of business against MANU…Arsenal 2 Manchester U 1 hahahahaha BJ & Company msininunie hahahahah ) na mahasidi wake J, wapenzi wa MANU (BJ & Company mpo?), Wapenzi wa Drogba Oops! I mean Chelsea hahahahahaha, wapenzi wa bata mchafu (Masanilo na Fidel80 mpo? …we mzee mwenye mandevu hujaacha tu kula bata mchafu kila siku unataka kupita mtaa huu hahahahaha LOL!) Fidel80 kila nikikumbuka hadithi yako kwamba unapokuwa unakula nyeti zako huwa unajikunja na kuwa mdogo kuliko hata nyani/tumbili basi huwa nacheka sana maana kila nikipiga picha huwa mkunjo wako siipati picha kichwani mwangu kabisaaaa hahahahahah, walokole wote wa jamvi letu tukufu, JF Hall of fame inductees wakiwamo Saint Nyani Ngabu (Original NN, OPP hahahahaha), Kaizer, Asprin (is always good for your heart J, Acid/Denovo (sijui kwa nini Denovo nalihusudu sana :dance:) Mwanakijiji we unatisha! 2015 ugombee Ubunge kupitia Chadema, X-PASTER pole sana swahiba wangu kwa kuondokewa na baba yetu, Mzizi Mkavu, Mag3, Kichuguu (Yes indeed…Life is good indeed J I can’t complain namshukuru sana muumba wetu), Balantada, Arsenel Wenger, Rev Kishoka, Jasusi, Mbu, The Boss (hahahaha kila nikikumbuka ile story yako ya kumpigia speed yule dame aliyejaliwa kuumbika huwa nacheka sana hadi hii leo LOL! We mkali hahahahah kufunga safari…isiyotarajiwa….hadi mlandizi kufukuzia nanihii si mchezo hahahahaha) SteveDii, Pretty (vipi Kichanga chetu, kafirst born, a very special Xmas present ever kimeshawasili? Maana nakumbuka uliandika due date yako ilikuwa November kama ya Da Sophy. Ni baby boy or baby girl? Kama kimeshawasili hongera zako nyingi sana ila tu nakuomba upunguze mapilipili kwa miezi michache ijayo J, Nyama Yao (bado huwa nawaza sana yule rafiki yako alikuwa anawaza nini mpaka kukupa nickname kama hii hahahahaha LOL!, Mwanajamii1( Hekima zote hizi na busara kwanini uliamua kuzificha siku za nyuma? Unatisha kwa busara na hekima zako) Tanga kunani? Hivi kule tanga watokea wapi vile? Masiwani?, First lady1, Bht, Carmel, Pearl, na inductees wote wa hall of fame na warembo na njembas wote wengine wa jamvi hili mwanana maana nikiweka majina yenu yote patakuwa hapatoshi J

YouTube - P-Square Feat. J Martins - E No Easy
Haya wanaija hao wanapiga muziki wa kufa mtu…ni lazima utikise hata kichwa ukiusikisia muziki wao, lakini nasikia wanadai Wabongo wanacheza muziki wao vizuri zaidi kuliko nchi yoyote ile katika Afrika…msiniulize source LOL!

May the beauty of the Christmas brighten up your life and decorate your days with love, smile and happiness.

Wish you a Merry Christmas, prosperous and a happy New Year

MERRY CHRISTMAS AND A HAPPY NEW YEAR
 
Bubu long time no see you man (though I'm a newbie). A great big thank you and happy holidays. Don't be a stranger
 
eeeeeeh jamani Babu!same to you and family jama!duh we kichwa vituko na matukio ya watu wote hao unakumbuka?mapumziko mema:hungry:
 
mbaya sana wewe hata salamu zako sitaki

DUH! nimefanya nini tena hata ukatae salam nzuri kama hizi? Kama umezisusa basi wengine watazipokea kwa heshima na taadhima.

Have a great weekend :wave:
 
Hivi nani amekuficha huko BAK
yaani wewe LOL mwaka hadi mwaka Merry x-mas nad happy new year to you 2
 
Hivi nani amekuficha huko BAK
yaani wewe LOL mwaka hadi mwaka Merry x-mas nad happy new year to you 2

Sijafichwa :peep: hahahaha ila majukumu ya kulijenga Taifa changa la Tanzania (Hivi miaka 49 bado tu ni taifa changa) katika kulisukuma lile gurudumu la maendeleo hadi kilele cha mlima Kilimanjaro yameongezeka. Sikupotea kwa mwaka mzima FL1, bali kwa miezi michache tu.
 
Sijafichwa :peep: hahahaha ila majukumu ya kulijenga Taifa changa la Tanzania (Hivi miaka 49 bado tu ni taifa changa) katika kulisukuma lile gurudumu la maendeleo hadi kilele cha mlima Kilimanjaro yameongezeka. Sikupotea kwa mwaka mzima FL1, bali kwa miezi michache tu.

Hahahaha umegundua utamu wa asali kwa yale mambo ya pwani! kila la heri kiongozi
 
Hahahaha umegundua utamu wa asali kwa yale mambo ya pwani! kila la heri kiongozi


LOL! Dr hujaacha tu utundu wako hahahahaha...miye wa bara bwana mambo ya pwani na miye mbali mbali kabisa :A S 39:
 
Mungiu wangu. umerudi mkuu, tulikukosa sana hapa jamvini, hebu cheki search uone mathreads kibao yanayokuulizia, karibu sana na uendelee kuwaelimisha wabongo!
 
Hamujambo jambo humu.... X-PASTER pole sana swahiba wangu kwa kuondokewa na baba yetu....

Mkuu nashukuru sana, yote ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu...!

Mkuu umepotea sana ndugu yangu, najuwa majukumu na mambo mengine mengi yamekukinga lakini si unajuwa kuwa JF ni aina ya maradhi, hongera sana kwa kuweza kupata dawa yake... Tupasie na sisi mkuu, ah ah ah ah.... haya ndugu yangu tuwe tunawasiliana japo mara moja moja...!

Kila la kheri mkuu.
 
Mkuu nashukuru sana, yote ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu...!

Mkuu umepotea sana ndugu yangu, najuwa majukumu na mambo mengine mengi yamekukinga lakini si unajuwa kuwa JF ni aina ya maradhi, hongera sana kwa kuweza kupata dawa yake... Tupasie na sisi mkuu, ah ah ah ah.... haya ndugu yangu tuwe tunawasiliana japo mara moja moja...!

Kila la kheri mkuu.

Ni kweli Mkuu yote ni mapenzi ya Mungu, Baba yetu katangulia kwenye haki. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, amina.. Hakuna dawa Mkuu bali ni kuweka nia tu lakini ukitilia maanani kwamba Jamii ndiyo site ambayo huwa nashangaa shangaa sana kuliko site yoyote ile ili kupata latest news hasa za Tanzania na viburudisho vya kila aina basi ilikuwa ngumu mno lakini halijaharibika neno.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom