BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,792
- 287,994
Hamujambo jambo humu wapenzi wote wa chadema na hata wa kile chama kingine cha maf
. Majambazi, Wizi na wachakachuaji wa kura? (Chadema wameshawasha moto wa Katiba mpya hakuna wa kuuzima na ni lazima katiba mpya ipatikane kabla ya 2015) wapenzi wa Arsenal (KKY bado tunasuasua tu!:angry:
but on Monday we'll take care of business against MANU
Arsenal 2 Manchester U 1 hahahahaha BJ & Company msininunie hahahahah ) na mahasidi wake J, wapenzi wa MANU (BJ & Company mpo?), Wapenzi wa Drogba Oops! I mean Chelsea hahahahahaha, wapenzi wa bata mchafu (Masanilo na Fidel80 mpo?
we mzee mwenye mandevu hujaacha tu kula bata mchafu kila siku unataka kupita mtaa huu hahahahaha LOL!) Fidel80 kila nikikumbuka hadithi yako kwamba unapokuwa unakula nyeti zako huwa unajikunja na kuwa mdogo kuliko hata nyani/tumbili basi huwa nacheka sana maana kila nikipiga picha huwa mkunjo wako siipati picha kichwani mwangu kabisaaaa hahahahahah, walokole wote wa jamvi letu tukufu, JF Hall of fame inductees wakiwamo Saint Nyani Ngabu (Original NN, OPP hahahahaha), Kaizer, Asprin (is always good for your heart J, Acid/Denovo (sijui kwa nini Denovo nalihusudu sana :dance Mwanakijiji we unatisha! 2015 ugombee Ubunge kupitia Chadema, X-PASTER pole sana swahiba wangu kwa kuondokewa na baba yetu, Mzizi Mkavu, Mag3, Kichuguu (Yes indeed
Life is good indeed J I cant complain namshukuru sana muumba wetu), Balantada, Arsenel Wenger, Rev Kishoka, Jasusi, Mbu, The Boss (hahahaha kila nikikumbuka ile story yako ya kumpigia speed yule dame aliyejaliwa kuumbika huwa nacheka sana hadi hii leo LOL! We mkali hahahahah kufunga safari
isiyotarajiwa
.hadi mlandizi kufukuzia nanihii si mchezo hahahahaha) SteveDii, Pretty (vipi Kichanga chetu, kafirst born, a very special Xmas present ever kimeshawasili? Maana nakumbuka uliandika due date yako ilikuwa November kama ya Da Sophy. Ni baby boy or baby girl? Kama kimeshawasili hongera zako nyingi sana ila tu nakuomba upunguze mapilipili kwa miezi michache ijayo J, Nyama Yao (bado huwa nawaza sana yule rafiki yako alikuwa anawaza nini mpaka kukupa nickname kama hii hahahahaha LOL!, Mwanajamii1( Hekima zote hizi na busara kwanini uliamua kuzificha siku za nyuma? Unatisha kwa busara na hekima zako) Tanga kunani? Hivi kule tanga watokea wapi vile? Masiwani?, First lady1, Bht, Carmel, Pearl, na inductees wote wa hall of fame na warembo na njembas wote wengine wa jamvi hili mwanana maana nikiweka majina yenu yote patakuwa hapatoshi J
YouTube - P-Square Feat. J Martins - E No Easy
Haya wanaija hao wanapiga muziki wa kufa mtu ni lazima utikise hata kichwa ukiusikisia muziki wao, lakini nasikia wanadai Wabongo wanacheza muziki wao vizuri zaidi kuliko nchi yoyote ile katika Afrika msiniulize source LOL!
May the beauty of the Christmas brighten up your life and decorate your days with love, smile and happiness.
Wish you a Merry Christmas, prosperous and a happy New Year
MERRY CHRISTMAS AND A HAPPY NEW YEAR
YouTube - P-Square Feat. J Martins - E No Easy
Haya wanaija hao wanapiga muziki wa kufa mtu ni lazima utikise hata kichwa ukiusikisia muziki wao, lakini nasikia wanadai Wabongo wanacheza muziki wao vizuri zaidi kuliko nchi yoyote ile katika Afrika msiniulize source LOL!
May the beauty of the Christmas brighten up your life and decorate your days with love, smile and happiness.
Wish you a Merry Christmas, prosperous and a happy New Year
MERRY CHRISTMAS AND A HAPPY NEW YEAR