i thought I'd say...

YournameisMINE

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
2,242
1,225
Heee,
Karibu sana dada vero, karibu jamvini....hapa ndio JF kwa "wakulu wa bangoi". Chukua nafasi ukae utulie wala usiogope, Karibu sana!!!!.
 

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,408
2,000
Karibu Da Vero!
Hapa tuna vinywaji vyote, ila togwa tu ndiyo imebakia jioni hii, je nikuletee walau kibuyu kimoja?! :)

SteveD.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom