I think am in love with the wrong person

Wengi wa aina yako hutokea Kilimanjaro na wakidoda huwa wanawaandama vijana wadogo. Utakuta jimama lipo 60 years linabebika na serengeti 17 years ati mapenzi hayana umri. Kumbe lilikuwa linanyodo likiwa below 30 na kukosa wa kumuoa uzeeni linatuharibia watoto. Jitafakari
 
Za usiku.
Naomba nisiwachoshe sana,kuna kaka tuseme nilikuwa kwenye mahusiano nae kama kuelekea miezi 3 i think coz am not sure na miezi precisely ni mingapi.Kiukweli ninampenda i can't deny my feeelings kwake though kuna muda uwa namjibu vile navosijikia mimi kumjibu cha kusikitisha i can say ni kwamba huyu kaka haniamini kabisa ananiona mimi ni mtu wa mambo mengi na muongo hata nikimuambia ukweli vipi hawezi kuniamini na mimi pia namuona ni mtu wa kupenda wasichana ingawa sijawahi kumuona nao ila hisia zangu zinaniambia hivo.

Mpaka nakuja kuandika hapa ni kwamba leo nimegombana nae tena kiasi cha kufikia tumeamua kuachana mbaya zaidi tunatumiana texts ambazo hazifurahishi na mimi imefikia stage nimeanza kumtumia message ambazo kwa kweli nikiziangalia naumia mwenyewe maana namjibu vibaya sana na kumdanganya zaidi ili anione sijali hata nilivoachana nae na yeye ananijibu vibaya pia kuonesha kama hanijali na hata tukiachana hataumia.

Nilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa mwanaume anione mimi nampenda sana mwisho wa siku aje kuniumiza ila nikifikiria kwa upande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida

Naombeni msaada wenu katika hili jambo

Kama ni hivyo, basi nyie wote ni machangudoa, hamuaminiani.
 
upande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida
Duh hongera sana sana inaonyesha una ka-list kazuri tu
 
Za usiku.
Naomba nisiwachoshe sana,kuna kaka tuseme nilikuwa kwenye mahusiano nae kama kuelekea miezi 3 i think coz am not sure na miezi precisely ni mingapi.Kiukweli ninampenda i can't deny my feeelings kwake though kuna muda uwa namjibu vile navosijikia mimi kumjibu cha kusikitisha i can say ni kwamba huyu kaka haniamini kabisa ananiona mimi ni mtu wa mambo mengi na muongo hata nikimuambia ukweli vipi hawezi kuniamini na mimi pia namuona ni mtu wa kupenda wasichana ingawa sijawahi kumuona nao ila hisia zangu zinaniambia hivo.

Mpaka nakuja kuandika hapa ni kwamba leo nimegombana nae tena kiasi cha kufikia tumeamua kuachana mbaya zaidi tunatumiana texts ambazo hazifurahishi na mimi imefikia stage nimeanza kumtumia message ambazo kwa kweli nikiziangalia naumia mwenyewe maana namjibu vibaya sana na kumdanganya zaidi ili anione sijali hata nilivoachana nae na yeye ananijibu vibaya pia kuonesha kama hanijali na hata tukiachana hataumia.

Nilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa mwanaume anione mimi nampenda sana mwisho wa siku aje kuniumiza ila nikifikiria kwa upande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida

Naombeni msaada wenu katika hili jambo
Kuna kila dalili ukaja kuolewa na ben ten ukifikisha miaka 45 single mom... maana kwa mwendo huo hutaolewa else utafute mwanaume wa kikuria yeye ndo anaweza kukutuliza
 
Wengi wa aina yako hutokea Kilimanjaro na wakidoda huwa wanawaandama vijana wadogo. Utakuta jimama lipo 60 years linabebika na serengeti 17 years ati mapenzi hayana umri. Kumbe lilikuwa linanyodo likiwa below 30 na kukosa wa kumuoa uzeeni linatuharibia watoto. Jitafakari
Kama hatoki k'njaro anatoka Arusha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan we kiumbe natamani sana nikuone uso kwa uso maana kila nikikutafakari nashindwa kuupata uhalisia wako.

Ila Asante kwa watu kama nyie.
Ha ha ha ha ha haaaaa. Duh!!!! Umenifanya asubuhi yangu iwe nzuri,kwanini unashindwa kupata uhalisia wangu?
 
UKIKUA UTAACHA!
UTAONA THAMANI YA KUPENDA NA KUPENDWA!
now tht unawezafake kuwa huumii ane anaweza fake haumii na ukawa unaumia lakini badae ikawa huumii!

KUA KWANZA MDOGO WANGU!
 
Za usiku.
Naomba nisiwachoshe sana,kuna kaka tuseme nilikuwa kwenye mahusiano nae kama kuelekea miezi 3 i think coz am not sure na miezi precisely ni mingapi.Kiukweli ninampenda i can't deny my feeelings kwake though kuna muda uwa namjibu vile navosijikia mimi kumjibu cha kusikitisha i can say ni kwamba huyu kaka haniamini kabisa ananiona mimi ni mtu wa mambo mengi na muongo hata nikimuambia ukweli vipi hawezi kuniamini na mimi pia namuona ni mtu wa kupenda wasichana ingawa sijawahi kumuona nao ila hisia zangu zinaniambia hivo.

Nilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa

Naombeni msaada wenu katika hili jambo

Kwa kifupi na kwa mujibu wa maelezo yako, huo uhusiano ukiharibika jua wewe ndiye umeharibu!!

Yani wewe ndiye umechangia asilimia kubwa kuuharibu!

mwanaume anione mimi nampenda sana mwisho wa siku aje kuniumiza ila nikifikiria kwa upande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida

Inaonyesha uko kwenye conflict na nafsi yako!!

Kasome Proverbs 14:1
 
Daaaa sijui mkoje am n love na gal ypo kama ww nahs kbsa mahsiano yet ndo yanaenda kufa japo nmemvlia kwa miak 3 ila uvmlivu umenshinda habadliki
 
Kabla sijakusaidia nijibu maswali haya: 1. Umesomea sheria au kozi gani na kwa ngazi gani? 2. Kipato chako kikoje? 3. Elimu, kipato na cheo cha wazazi wako je? 4. Home kwenu nani ana sauti, mama au baba? 5. Mtu akikukosea unajisikiaje, kudharauliwa ama unahisi kila mtu aweza kukosewa? 6. Mahusiano yako ya nyuma yaliishaje, kwa staili hiyohiyo? 7. Unaelewa nini juu ya KUWA MKE WA MTU au mchumba wa mtu? 8. Unajuaje kuhusu haya, utawala ktk mahusiano na uongozi ktk mahusiano? Nijibu ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom