I Tanzania Itajengwa na Watanzania Wazalendo wa Ukweli: Je wazalendo wapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I Tanzania Itajengwa na Watanzania Wazalendo wa Ukweli: Je wazalendo wapo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Jul 8, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda sana hii statement "Tanzania Itajengwa na Watanzania Wazalendo wa Ukweli"
  Tanzania itajengwa na Watanzania
  Watanzania Gani? Watanzania ambao ni wazalendo wa Kweli.

  Je kuna watanzania ambao ni wazalendo wa kweli tena leo? In fact hakuna! wakina mwalimu, Kawawa, karume hawapo tena! Sasa hivu Tanzania inaliwa na watanzania wenye mizizi CCM. Na rais JK anaamini Tanzania itajengwa kwa kuwapigia wafadhili magoti.
  Kwa mtaji huu tanzania itakua na hali gani ni 20-50 years to come? Inabidi Jeshi waongeze silaha kwa ajili ya kupigana na wananchi wake.
   
Loading...