I slept with Larry King's wife... in Larry's own bed, says baseball coach Hector Pena

Nawaambieni ni kinyume na asili ya binadamu kufungamana na mtu mmoja tu kwa milele. Binadamu tumeumbwa na matamanio yasiyo na kikomo. It's almost impossible to be monogamous.......

Yeyote anayebisha hili akili yake ni kushikiwa. Huwezi kula chakula kile kile miaka nenda miaka rudi lazima utataka kuonja na mapishi mengine kama wewe ni mwanaume/mwanamke.
 
amwite mchizi aliye lala na mke wake kwenye show yake hili amuulize maswali vizuri kama kawaida yake lol.

kama issue ya larry kulala na sister in law wake pia yeye nae kaaribu kushinda hio ya mke wake kula raha na jamaa mwingine kitandi kwake.

kama ingekuwa soka nampa mama ushindi kwa njia ya penati manake atapata hela nyingi sana divorce itakapokamilika.
 
Jamani sasa kababu kama kale kanawezapeleka moto unaotakiwa kwa limama limeshiba kama lile ndio maana mnaashauriwa chukuen saizi zenu jamani swala si age tu je engine unayoona utaweza kuendesha nimeona wanandoa wengi wabongo vijana wanakimbizana kuchukua zigo kubwa akishakaa nalo mwezi analishindwa ameshazoe bfriend gfriend kumega mara 3 kwa wiki akikaa ndani anataka 2*3 patamu abh unaaga utakula chai kazini unashinda kavu jion unarudi unamalizia na kilichobaki utapa hizo 6 weeeeeeeeeeeeeeeeeeee

hili si larry hata byie vjana angalien mizigo mnayobeba mpaka kufa kwenu si unashangalia kusema tu mpaka kufa unashindwa zigo mwezi
 
Back
Top Bottom