I slept with Larry King's wife... in Larry's own bed, says baseball coach Hector Pena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I slept with Larry King's wife... in Larry's own bed, says baseball coach Hector Pena

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, Apr 22, 2010.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Apr 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Haya...kwa nyie ambao bado mnadhani kuna mapenzi au kwamba mtu hawezi ku cheat...hebu someni hiki kisa cha Larry King na mkewe....ambao wote walitoka nje ya ndoa yao.....

  Halafu huyu mke wa Larry King kweli hana hata dhamiri....yaani alimpanulia jamaa kwenye kitanda chake na mumewe......fcuk marriage.....  By Nancy DillonDAILY NEWS WEST COAST BUREAU CHIEF


  [​IMG]

  Agostini/Getty
  Baseball coach Hector Penate claims he slept with Larry King's wife Shawn Southwick after they met in 2007.


  [​IMG] Tullberg/Getty
  Larry King wife Shawn in happier time.
  LOS ANGELES - A baseball coach is claiming he scored with Larry King's wife before her divorce filing last week and says she openly mused about the CNN anchor's demise.
  In a blockbuster interview airing Wednesday night, coach and aspiring actor Hector Penate confirms his affair with King's seventh wife, Shawn Southwick.
  "Yes I did," Penate, 31, tells "Entertainment Tonight" when asked if he had an affair with Southwick.

  He said Southwick, 50, often spoke to him of her desire to divorce the 76-year-old King, and wistfully told him, "'Don't worry, he's gonna die soon.'"
  Penate said he began sleeping with Southwick 2-1/2 weeks after they met in 2007 and described one randy rendezvous.

  "We got back in the car and we kind of locked eyes and just started kissing," Penate says in the interview to air at 7:30 Wednesday night on CBS.
  King and Southwick filed divorce papers minutes apart last week after an alleged fight over Southwick's claim King is having an affair with her 46-year-old sister, Shannon Engemann. Southwick has denied having an affair with Penate.

  In an interview with In Touch magazine to be published Friday, Penate said King's affair with his sister-in-law may have motivated Southwick to sleep with him.
  "I really think she had the affair with me because of him and her sister," he said.

  He claims that he vacationed with Southwick and her children with King in Cabo San Lucas, Mexico, and had sex in King's bed. "We had sex in Larry's bed a lot," he said. "I felt like it was my house."
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu mmoja alikuwa anauliza kwanini Larry King yeye kila siku anapeana Talaka na wake zake ? ina maana kaona kama ni fashion?? kumbe ni matatizo kama haya wote kutokuwa waaminifu katika ndoa
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Komredi hapo too much huyo mama alishindwa hata kwenda mjengo?
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Apr 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Huyu wa sasa ni mke wa saba (7).....sasa kweli mtu na akili yako timamu unakubali kuolewa na mtu aliye taliki(wa) mara 6! Na yeye Larry King sijui hafahamu kuwa hii dhana ya ndoa ni dhana potofu....sijui hadi kitokee nini tu ili aweze kuelewa.....labda hii ya mkewe kumegwa kwenye kitanda chake itamwonesha mwanga na kujua kuwa kuoa/ kuolewa ni upotezaji wa muda na rasilimari.....
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Apr 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  I guess alikuwa kazidiwa na minyege.....
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kumbe kibabu huyu mchafuzi eeh?
  Yaani alimrekebisha tabia shemeji yake!...mapenzi haya bana usipokuwa na utashi unakuwa wa kudandia dandia kama kuku vile!
  Huo ndo msambaratiko wa familia mbaya zaidi..kila mtu ana madai na malalamiko genuine!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Apr 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Nawaambieni ni kinyume na asili ya binadamu kufungamana na mtu mmoja tu kwa milele. Binadamu tumeumbwa na matamanio yasiyo na kikomo. It's almost impossible to be monogamous.......
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hapo mtu unakuwa bado unacheza kamari ukijua labda unaweza kubahatika

  sasa mzee mzima inabidi apumzike tu.....marriage is not his thing.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Sikubaliani na wewe...
  Matamanio ni udhaifu, na unatakiwa kuicontrol akili yako, usishindwe na moyo!
   
 10. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Acha tu Komredi mila zitadumishwa tu!!
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Apr 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Exactly...marriage just ain't for him.....

  But I don't get it...you've been divorced 6 or 7 times and still you are getting married...for what really? What do you expect? They say two is a coincidence and three and beyond is a trend....If I were him I'd have stopped at number 3.
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kwa utaratibu ''wa ki-magharibi'' having SEX is ''like taking a bottle of vladmir''...........
  you can take it with anybody,hata mke wa rafiki yako RUXA........
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Apr 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Na udhaifu ni asili ya binadamu. Kwa hiyo hiyo control unayoizungumzia ultimately it will succumb to udhaifu....kibaya zaidi ni kwamba mara nyingi watu wanapo stray wanakuwa wanafanya siri....kwa hiyo unaweza ukadhani mwenzako ni mwaminifu kikweli kweli kumbe hujui tu....he/she covers her tracks very well....but the bottom line is he/she still cheats on you....
   
 14. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa kwa tofauti hii ya miaka 26 ya umri kati ya mume (76 years) na mke (50 years) lazima kutakuwa na matatizo katika kupeana mambo ya NDOA. Lazima huyu bwana atakuwa ana under perform kiasi ya kumshawishi mke kwenda nje ya ndoa.
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  NN, yani kwa mwanamke yeyote kukubali kuwa mke wa kuanzia namba tatu basi ujue ni kicheche kwahiyo hakuna unexpected hapo, we cheki hiyo sura, halafu angalia kibabu hivyo kweli kuna supu ya pweza hapo??

  she is just validating our myth
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  harafu kimeshakuwa kibabu sijui kinahangaika nini ndo maana wanakimegea kitulie
   
 17. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #17
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Duh,hii kali sasa.Ila talaka mara 6? Ila huyo mzee apumzike tu....uaminifu kwake pia ni msamiati.Inawezekana bibie anasema hivyo kumkomoa
   
 18. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Pochi baba!!! na minyege ikikuzidi hata akili ya kwenda kwenye mjengo huna tena unataka kitu pale pale na dakika ile ile, uende wapi tena minyege imejaa mpaka machoni?
   
 19. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,124
  Likes Received: 23,733
  Trophy Points: 280
  Nilikaona jana kajamaa kalikommegea Larry King kakihojiwa kwenye TMZ, yaani kanasema wazi kila kitu du-balaa.
   
 20. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  mara nyingi binadamu hushindwa na moyo kwa kuwa wanafikiri na moyo badala ya kufikiri na kichwa!!
   
Loading...