Waliishia kumuua yule mzee. Recall, Mzee Kabila alipigwa risasi na walinzi wake ambao walikuwa ni RPF - affiliated to Kagame. Na hata sasa, hawamtaki Kabila mdogo kuongoza Congo.
...Zungu pule you're just a liar,chuki zako kwa Kagame ni wazi kwa hiyo sitapoteza muda kubishana na mtu anayeongozwa na ideology!