I really love her but her family situation puts me in overwhelming fear and discouragement

Kama unampenda kweli you will do the best kumfanya awe na shughuli ya kufanya ili awasaidie ndugu zake, na pia naweza kumsaidia mama yake awe na kamradi ka kufanya ili kupunguza utegemezi kutoka kwenu, unaweza kuwauliza nini wanaweza kufanya katika mazingira yao then wawezeshe. Ishi na mtu roho inapenda mali huwa inatafutwa lakini kipenzi cha roho ukikipoteza utajuta maisha yako yote. You never ni kwa namna gani akili yako yaweza kufanya mambo makubwa ya ajabu kust because unaishi na mtu unayempenda kwa moyo wako wote regardless of her economic status. Suka au nyoa
 
Asante bro

Nimefikiria hili pia, na nimeshuuliza Kuhusu kitu ambacho mom wake anaweza fanya Najaribu kuendelea jitafakari

Asante Sana kwanza ushauri mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moe lakini kabla hujamuoa kaa nae umueleze hali halisi na mustakabali qa familia yake na familia anayoenda kuanzisha
Mueleze ukweli kwamba hutoweza kubeba familia zote yakwenu mtayoanzisha na ya kwake
Kwahiyo kuwe na mgawanyo wa majukumu. Yeye ukimuoa utamfungulia kitega uchumi kidogo kama duka la nguo,, au la mahitaji ya nyumbani nk
Mapatl ya hiyo biashara yataenda kuhudumia kwao anakotegemewa. Na kama atabaki nacho kidogo ni chake
Wewe utabeba jukumu lako la lazima kama baba wa familia..
Inawezekana baadae wategemezi qakapungua kule na biashara ikahamia huku kwenu.
Kama ana elimu mtafutie ajira pia.. Sio lazima biashara

UKIPENDA BOGA PENDA NA UA LAKE
Jamani dada aggyjay Nishauri vizuri nipe njia pia angalia nia yangu kwake

Ukisoma vizuri Habari utanielewa mpaka Moyoni jinsi Nnavyo kuwa frustrated kwa hii issue

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo tucoment kwa kingereza au? Au hata kiswahili utatuelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kichina mama
Wewe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unajua kiswahili...

Kuchoshana kote ya nini!?
Tushauriane bro, achana na mambo ya lugha

Sent using Jamii Forums mobile app
haya ndiyo umeandikaje hapo juu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Iko wazi: Kama umempenda kweli, maana yake hata hilo la family poverty umelijua na umejiandaa.

Otherwise bado hujajua maana ya kumpenda mtu, as Africans tuna extended families hakuna namna ambayo kama uko vizuri upstairs utaishi vizuri WEWE NA MKEO huku familia yake ikiwa choka mbaya usiwasaidie.

Ni kuamua kujitwika mzigo au kuacha kumuoa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom