I propose Uporoto01's Wife for 'Woman of the Month' award. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I propose Uporoto01's Wife for 'Woman of the Month' award.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Diana-DaboDiff, Aug 24, 2010.

 1. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mume wako anakwambia alizaa na mke wa mtu ambaye alikuwa EX wake,unakubali kumsaidia kumpeleka mtoto hospitali na kusaidia mahitaji.Unapanga kumtafutia kazi mama huyo ili aweze kumtunza mtoto wake na kuwasaidia wakikwama.Huyu dada ni wakusifiwa sio kama walivyosema wengine eti kama hataki kulea mtoto aende zake,nawakilisha hoja.
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  sawa DD, lakini angalizo tu, ni kwamba aliza naye KABLA hata hajamuoa huyo mkewe wa sasa. tuendelee

  halafu kwa kufanya haya yote, anayafanya kama binadamu mwengine yeyote ambaye ameguswa, mimi binafsi hili limenigusa, na nadhani linapaswa likuguse pia....kusaidia ni Human......
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  okay granted FP...
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  duh... Kaizer na FP mmeipotezea thread kinamna
   
 5. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  Ilibidi mazee....
   
 6. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #6
  Aug 24, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sori Acid, imetokea tu ikapotea. lakini na wewe unaweza kuifufua kinamna!
   
 7. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Humanitarian ground its ok
   
Loading...