I need you | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I need you

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sweetdada, Apr 28, 2011.

 1. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Salamuni wanajamvi,

  Tumekuwa marafiki wazuri tu kwa miaka kadhaa sasa. sasa gafla mwenzangu kanambia "sweetdada i need u, i need u now more than ever"..nikamuuliza kulikoni??akasema sasa hivi mambo yake safi ana kazi nzuri.sasa mi nikabaki mdomo wazi vipii??

  Jamani nisaidieni huyu mtu ana maanisha nini? labda lugha sijaelewa au maana ya neno siijui.nijuzeni nijue nami nipate kujua.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mmmmhh.....
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Apr 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Si umwambie tu afafanue....(but hmmm, I'm wondering)
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Anataka kwenda next level huyo..
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  kwa sababu amehusisha kukuhitaji kwake na mambo yake kuwa safi na kazi nzuri,atakuwa anahitaji umsaidie kuzitumbua na kuzifanyia matumizi hizo hela zake.dont be flattered,hajasema anakupenda!
   
 6. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  lazima umeelewa ndiyo mana umeweka kwenye MMU.. mtu mzima haulizi shimo liko wapi bibie!!!
   
 7. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  yani hapo ndo kashafafanua anasema mi nijue tu kuwa he needs me.sasa sijajua natakiwa nijibu au nikae kimyaa au ni vipi
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Swali ulilouliza hapo kwenye rangi nyekundu jibu lake ni hapo kwenye rangi ya bluu
   
 9. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kwani kuwa na kazi nzuri ndo um need mtu jamani??ndo mana nimeuliza
   
 10. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mie hata hilo shimo sijui lilipo ndo kisa cha kuiweka MMU BJ
   
 11. I

  IRAQW MINING Member

  #11
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  C kwamba hujamwelewa,umemwelewa sn ila unataka cc pia tufaham kuwa sd kunamtu anamhitaji!
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sweetdada come on huh, don't tell me you haven't understood the guy unless unataka umpige chenga za mwili kwanza ili ujue kama he's for real
   
 13. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  On red...YES.
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  mwenzio anataka ule ushauri alipewa nani humu ndani.msaidie kupanga anunue miiko mingapi,vyandarua na mashuka mazuri ni yepi etc.weeh mjibu kuwa u ar there for him anytime he needs a frnd.
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sweetdada endelea kumsikilizia mshikaji labda baada ya kusema I NEED YOU there after atakuja aseme I WANT YOU then at the end atasema I LOVE YOU. Lol
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Sina hakika kama sijakuelewa vizuri, labda tutafsiri, "ninakutaka" ndo manake kama ni jinsia sawa na we ndo ushangae il a kama ni jinsia tofauti basi anataka kupanda ngazi na kuingia kwenye uhusiano mwingine na kama niko sahihi "mapenzi". Ni vizuri umuulize ana maana gani! Pole kwa kukanganyikiwa!
   
 17. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hahhahaha TF umenichekesha..i want you kashaisema ilikuja kama full package na i need u..ngoja niiweke hivi
  "sweetdada i need u in my life, i need u now more than ever,i want you sweetdada"...
  hahhaha hizi ngonjera hizi zinafurahisha..
  mie hee!!ushosti vipi tenaa
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Apr 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  It's a no brainer that he is smitten. And you probably know this but you just felt like posting something about it for whatever reason(s).
   
 19. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sitaki nataka zishawa-cost wenzao wengi!!
   
 20. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Acha kuuma uma vidole jamaa anataka kukuweka inside kijumla na mambo yake financially yako juu ya mstari sasa huelewi nini,halafu baadae mnadai ooh wanaume sio waoaji bali wachafuzi wakija waoaji mnadai hamuelewi lugha lol!
   
Loading...