I need to know the history of late leader of Kenya Mr George Saitoti

Reginald L. Ishala

JF-Expert Member
Jun 18, 2011
3,811
6,780
Hi, Members!

Naomba kuifahamu historia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na nyazifa mbali mbali ktk Taifa la Kenya Mr George Saitoti!

Thanks
 
Alikuwa mbunge wangu kule kwetu home Kajiado, toka nilipo zaliwa hadi alipoaga dunia. Yeye ndio makamu wa rais ambaye alikalia kiti hicho kwa muda mrefu zaidi ya wote. Mpenda amani. Profesa wa hesabu.

Wakenya tutamkumbuka kwa ile kauli yake ya hekima tupu; There comes a time.....when the country is more important than an individual! Baada ya rais mstaafu Daniel Arap Moi kumtema kama mrithi wake, kwenye mida ya lala salama ya utawala wake. Kisha Moi akamchagua kijana ambaye hakuwa anatambulika kisiasa wakati huo, yaani Uhuru Kenyatta. Hapo ni mukhtasari kwa ufupi. R.I.P Profesa.
 
Mimi namkumbuka kwa namna alivyokuwa anamkaribisha Moi wakati wa sherehe Kitaifa Kenya ..

"Karibu (makofi) Mtukufu Rais....nimesahau maneno yaliyokuwa yanafuata.

Kipindi hicho nasikiliza Kbc ya Fredy Machokaa, Jacob Ayoo Sylivester, Esther Githui, Ronald Mambotela (Je huu ni uungwana) nk.

Kulikuwa na tuhuma kuwa alikuwa Mkikuyu ila tu alikuwa adopted Umasaini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi namkumbuka kwa namna alivyokuwa anamkaribisha Moi wakati wa sherehe Kitaifa Kenya ..

"Karibu (makofi) Mtukufu Rais....nimesahau maneno yaliyokuwa yanafuata.

Kipindi hicho nasikiliza Kbc ya Fredy Machokaa, Jacob Ayoo Sylivester, Esther Githui, Ronald Mambotela (Je huu ni uungwana) nk.

Kulikuwa na tuhuma kuwa alikuwa Mkikuyu ila tu alikuwa adopted Umasaini

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli inasemekana una mchanganyiko wa kimasai na kigikuyu
 
Alikuwa mbunge wangu kule kwetu home Kajiado, toka nilipo zaliwa hadi alipoaga dunia. Yeye ndio makamu wa rais ambaye alikalia kiti hicho kwa muda mrefu zaidi ya wote. Mpenda amani. Profesa wa hesabu. Wakenya tutamkumbuka kwa ile kauli yake ya hekima tupu; There comes a time.....when the country is more important than an individual! Baada ya rais mstaafu Daniel Arap Moi kumtema kama mrithi wake, kwenye mida ya lala salama ya utawala wake. Kisha Moi akamchagua kijana ambaye hakuwa anatambulika kisiasa wakati huo, yaani Uhuru Kenyatta. Hapo ni mukhtasari kwa ufupi. R.I.P Profesa.
Katoto ka 19 years 😆 😆😆
 
For how long was George an MP in your constituency? Since you indicated that he became one before you were born ,I had to conclude that you must be very young.
1988-2012(when he died). When I was born he had already made his mark politically and was the M.P. of my home constituency. I ain't old but am no teenager. Nikii wena mucene muigi ugwo we? Menya ciaku nyamenyamenya. :cool:
 
Asanteni sana Wana JamiiForums kwa kunifumbua macho kuhusiana na Bw G. Saitoti, Nilipenda sana jinsi alivyokuwa akitoa hotuba.

Wengine husema huenda angekubalika zaidi kuliko Moi.

Watu wengi pia wamebaki na maswali mengi ya kujiuliza juu ya kifo chake.
 
Profesa aliishi kwa uoga usio wa kawaida tangu miaka ya '90s. Hakupenda kujihusisha na watu ambao hakuwafahamu vyema na inasemekana alivaa bullet proof vest wakati wote na chakula chake kabla hakijamfikia kilikuwa kinakaguliwa kwanza na walinzi wake. https://www.standardmedia.co.ke/article/2000059754/why-kenyan-minister-saitoti-lived-in-fear
Asanteni sana Wana JamiiForums kwa kunifumbua macho kuhusiana na Bw G. Saitoti, Nilipenda sana jinsi alivyokuwa akitoa hotuba. Wengine husema huenda angekubalika zaidi kuliko Moi. Watu wengi pia wamebaki na maswali mengi ya kujiuliza juu ya kifo chake.
 
*Waziri wa Fedha (1983 - 1988)

*Makamu wa Rais (Mei 1989 -
Desemba 1997)

*Waziri wa Mipango na
Maendeleo ya Taifa
(Desemba 1997 - Aprili 1999)

*Makamu wa Rais (Aprili 1999
- 30 Agosti 2002)

*Waziri wa Elimu (Januari 2003 - Novemba 2005)

*Waziri wa Elimu (7 Desemba 2005 - 13 Februari 2006)

*Waziri wa Elimu (Novemba 2006-Januari 2008)

*Waziri wa Usimamizi wa Majimbo na Usalama wa Ndani (Januari 2008 - hadi
Umauti)
 
Ingia YouTube andika George Saitoti, utakutana na taarifa ya kina ya mwamba Mohamed Ally noma sana. Mwaka wa tatu sasa huu kila siku usiku kabla sijalala huwa nahangaika na hii kitu, noma sana
Hi, Members!

Naomba kuifahamu historia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na nyazifa mbali mbali ktk Taifa la Kenya Mr George Saitoti!

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom