I NEED SOME HELP ABOUT JOOMLA (content management system).


MtuMmoja

MtuMmoja

Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
98
Likes
3
Points
15
MtuMmoja

MtuMmoja

Member
Joined Aug 30, 2011
98 3 15
Wana IT humu ndani nisaidieni kuhusu joomla jamani!!nimesoma hii kitu na kuapa kutokata tamaaa lakini nakaribia huko kwa sababu inazingua sana!kwenye template niki set default inakubali lakini ina display ERROR humo humo!!nimejaribu kucheki solution katika you tube lakini bado ERRORS,kwa hiyo wakuu hizi error niziondoeje!mana ndo kwanza nadili na template design bado kupiga code!!
 
H

hubiri b

Member
Joined
Sep 15, 2011
Messages
18
Likes
0
Points
0
H

hubiri b

Member
Joined Sep 15, 2011
18 0 0
Ingekua vizuri ungeonesha na error unayopata ili iwe rahisi kusaidiwa... je hiyo template ni ya joomla au umeinstall thirdparty templates?
 

Forum statistics

Threads 1,235,922
Members 474,863
Posts 29,240,631