Wabbi Time
Member
- Nov 20, 2010
- 24
- 0
Nataka marafiki wa kike na kiume..Umri wangu 43,Tall 6'1,white color,(mweupe).Strong..Naomba walio serious na wakweli
Nataka marafiki wa kike na kiume..Umri wangu 43,Tall 6'1,white color,(mweupe).Strong..Naomba walio serious na wakweli
we wa kike au wa kiume?
jamani si amesema wa kike au wa kiume....hajabagua.....mimi mwaya nitakuwa rafiki yako wabbi
ye jinsia yake ipi? halafu unaonekana unahuruma weye!
ni kweli nina huruma sana
Na mimi naomba unihurumie.....!
ok wabbi, i am here for you..!
Wewe He au She..............Nataka marafiki wa kike na kiume..Umri wangu 43,Tall 6'1,white color,(mweupe).Strong..Naomba walio serious na wakweli
kwani wewe paka unahitaji company?
Hapana sihitaji company nahitaji huruma.
je unahitaji marafiki kuanzia wa umri upi mpaka upi??? au haujali hilo........
ok basi ninakuonea huruma paka
afro naomba kuwa rafiki yako!!!!!ray2: