I need company

Wabbi Time

Member
Nov 20, 2010
24
0
Nataka marafiki wa kike na kiume..Umri wangu 43,Tall 6'1,white color,(mweupe).Strong..Naomba walio serious na wakweli
 
hahaaaaa haaaaa haaaaa huruma gani mnayozungumzia hapa? jamaa anataka rafiki huyo na mama big nae si alikua anatafuta?
 
Ni vizuri kujua jinsia yake, maana kuna watu wengine pia wanatafuta marafiki wa jinsia fulani tu.
 
Lakini yeye anatafuta rafiki wa company sio mapenzi, na ndio maana amesema wa kike au kiume.
 
huyu haeleweki kama mume au mke ajitambulishe apate marafiki, lakini siyo mbaya rafiki karibu !
 
je unahitaji marafiki kuanzia wa umri upi mpaka upi??? au haujali hilo........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom