I need a boyfriend from znz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I need a boyfriend from znz

Discussion in 'Love Connect' started by Mary-willy, Apr 29, 2011.

 1. M

  Mary-willy Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeshampata niliekua namtafuta Thanks 4 evrything.am so happy
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,087
  Trophy Points: 280
  mhh
  wewe sie yule nanihiii????????
   
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Huwa najiuliza sana ila cpati jibu kamili, hivi ni sababu zipi hasa za msingi zinazopelekea hadi mtu anaamua kutafuta mpenzi, (let me say), kwa kutangaza either kwenye net or gazetini?
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160


  I think one of the reasons ni mazingira ya watu wanavyo ishi ni tofauti sometime unakuta maeneo anayo ishi habahatiki kukutana na wengi, alafu kuna ile pia kua akimpata hapa JF the first stage inakua introductions kama, oooh uko vipi, unaishi wapi, unafanya kazi wapi, unapenda nini etc. Ukiona majibu sio unampotezea mana yule ambae unamfaham sometimes kumpotezea inakua ishu. Na pia imagery ina play part, naamini wengine anatangaza anatafta mchumba kumbe kisha lenga ni Kipipi anamtaka, hivyo anaanzia mbali anashindwa kum approach. Na wengine ni tu anataka akutane na mwana Jf awe mchumba wake after all ni jukwa la Great Thinkers na ukipata Great Thinker (kwa wale ambae ni single) what mo would u want ......
   
 5. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 568
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kwanza, nakumbuka kuwa uliwahi kuja kwa lengo hili hili miezi miwili nyuma (kuhakikisha angalia ktk thread iliyopita), tueleze vikwazo ulivyopata au mafanikio unayotarjia kupata hata ukarudi tena kwa hili.
  Pili, kwanini ulikuwa hupokei simu wakati nilipokuwa nakupigia kama kweli unatafuta mchumba?
   
 6. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,664
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
 7. M

  Mary-willy Member

  #7
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hey u pple are making me crazy,this is my life namtafuta sijampata alie kua serious thats why am back, kama inawauma au hamtaki leave me a lone.alafu sijaomba ushauri wala maoni nimeandika I NEED A BOYFRIEND FROM ZNZ.kama uhusiki au si mwanaume plz usinijazie tag.
   
 8. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,451
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  teh teh teh mtaje basiiiiiiiiii!!!!!!!!

  Muulize kwanza shule kamaliza vizuri?????? au ndio @yahoo.com
   
 9. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,676
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahaaaaa, dah, Mods ahsanteni kwa hii Love Connect....duh, mie alikuwa hajaiona kabisa kabisa hii sub-forum.....
   
 10. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,109
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  Kuvua kwa net ni sawa kuvua kwa ndoana?
   
 11. M

  Mary-willy Member

  #11
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaume wazima ovyo
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Vp tena dada Mary, wamekufanya nini hawa wanaume??
   
 13. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 568
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kama mambo yenyewe ndiyo hayo, sijuwi huyo mchumba atapatikana?
   
 14. x

  xman Senior Member

  #14
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani acheni porojo za kumzingua huyo dada, c mpigieni kama upo interested ujitulizie moyo
   
 15. s

  shosti JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahahahhahhaahhhah sasa unatukana waume zako wa baadae mhh:crying:
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 180
  hahahahaha! Umenichekesha!
  Hakuna hata aliyekuPM? Pole sana.
  Nyie wanaume changamkieni mchumba huyo. Dhahabu mnaipiga teke!
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 180
  hehehe! Kumbe wanaume wa jf nao hawatongozeki.
  Hadi bibie hasira zimempanda.
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Umeona eeh? Hapa hana mume walah tena!
   
 19. s

  shosti JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahahahahahahhahaahahaha yaani kaifanya siku yangu imekuwa nzuri sana,maana nimecheka mpaka basi hiyo mihasiram ila inaonekana wanajuana hao!
   
 20. T

  Tall JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  1.taratibu mary,
  2.hujui unaemjibu hivyo labda atakuja kuwa mumeo.
   
Loading...