Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Ajishusha mwanamke ataendelea kua na kiburi uamuz uliochukua mi binafs naona n mzuri
Nilichogundua mwanamke hua anapima maji akiona anayamudu ndo utaelewa kua dunia duara au tufe.... Staki ujinga Tena maana najua ntaumia Kisha ntapona tuuuu maisha yatasonga
 
Nashauri kaa mbali na watoto kwa muda nafikiri ndio wanaokuongezea simanzi. Ila usithubutu kumrudia mke anayezini ukifanya hivyo tu ninakuhakikishia atarudia tena na tena, na itafika mahali ataanza kukuonesha wazi wazi.
Hio kitu siwezi kabisa
 
Kinachoumiza zaidi ni pale unapovuta hisia jinsi mkeo anavyokazwa doggy style na jamaa. Too sad
 
Kiukweli hakuna binadamu aliye mkamilifu ni heri usamehe maisha yaendelee. Kwani tayari mna familia na hakuna mwanamke utakayemuoa awapende hao watoto kama mamayao, usaliti upo katika ndoa nyingi ndio maana wanaume wengi hawapendi kushika simu za wake zao wanajua lolote linaweza kutokea.
 
Nahisi nahitaji tiba Sasa maana najilazimisha nashindwa na inaniadhiri Hadi kwenye shughuli zangu
Mkuu hii ishu usiangalie upande wako anagali watoto mi imeshanikuta kama yako wife nilikuwa na muamini kupita maelezo lkn alichonifanyia ni majanga matupi nilitaka nichukue huamuz mgumu kabisa wa kumpoteza ni mungu tu aliingilia kat na watoto walichangia nikasema huu uwamuz ndakao fanya wanangu watakuwa ya tima kwa upumbavu wa mama yao bc nikaamua tu kupotezea mbaka leo naishi nae, naishi nae kama kuishinae tu ili wanangu wawena aman, hivyo vitu vipo mkuu we mrudishe mlee watoto
 
Mi nakushauri mrudie tu mkeo, akirudia hilo kosa tena mwache. Mpe nafasi nyingine nawahurumia watoto jamani, nimesoma hadi machozi yamenilenga. Nikiwaangalia wanangu dah! Tuzidi kuziombea ndoa zetu wapendwa. Ndoa zinavozidi kuvunjika kwa wingi ndipo tunakua na tatizo la maadili kwenye jamii.

Hakuna kitu kizuri kama watoto kulelewa na wazazi wawili. Uamuzi ni wako kaka. Nawaonea huruma watoto
 
Nimeamua hivo sema Sasa ishu imegombanisha hada wazazi na ndugu pande zoote na maapizo ya kutorudiana yalitolewa na wazazi ...
Kwa Sasa tunaibiana kwa Siri tuu
 
Mi nakushauri mrudie tu mkeo, akirudia hilo kosa tena mwache. Mpe nafasi nyingine nawahurumia watoto jamani, nimesoma hadi machozi yamenilenga. Nikiwaangalia wanangu dah! Tuzidi kuziombea ndoa zetu wapendwa. Ndoa zinavozidi kuvunjika kwa wingi ndipo tunakua na tatizo la maadili kwenye jamii.
Hakuna kitu kizuri kama watoto kulelewa na wazazi wawili. Uamuzi ni wako kaka. Nawaonea huruma watoto
Nimekuelewa dada, of course tumeanza kuyajenga hope yatakaa sawa
 
Kiukweli hakuna binadamu aliye mkamilifu ni heri usamehe maisha yaendelee. Kwani tayari mna familia na hakuna mwanamke utakayemuoa awapende hao watoto kama mamayao, usaliti upo katika ndoa nyingi ndio maana wanaume wengi hawapendi kushika simu za wake zao wanajua lolote linaweza kutokea.
Nimekuelewa sema sio kirahisi
 
Nakuelewa sister.... Ila wakati Mimi ilitokea tulikua na tofauti na distance ya miezi karibu miwili. Kwa mapenz alinibana akaniuliza hivi kipindi chote sija sex tuu mi nikafunguka na kusay sorry kwa magoti... But ilipofika kwake badala aombe msamaha ananiforce nimesamehe kwakua na mimi nilichepuka mbaya Zaid na nyumban akaondoka.... Nadhani ameona alipokimbilia sio ndio Mana anataka tusiachane japo naona hayupo serious .
Mpaka hapa mwanamke amekupanda kichwani. Kwa kifupi ushakua zoba flani hivi
 
Back
Top Bottom