Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Aaataruudiiih atarudi maamaa aaatarudiii anawapenda sana aatarudi atawaletea zawadi.... (Just singing)
 
Habari,

Kwa maskitiko makubwa baada ya kugundua mke Wang anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.

Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years).

Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa mama Yuko wapi na kwanini hakai nyumban.... Aisey asikwambie mtu nnawakat mgumu mnoo ukizingatia hatujazoea kudanganya watoto.

Nikiingia chumbani ndo kabisaa upweke nnaopata Hadi nakonda na hamu ya kula inaisha.

Kila nikifikiria kuanzisha mahusiano mapya sioni na Wala sielewi kama ntapata mwanamke niliyemzoea Kama mke Wang.... Si Kama mzuri kuliko wengne ila nifundi kweli kweli. Nahisi
Imekua ngumu kwasababu mimi sio wa michepuko ndio maana na teseka

nafiria kuhama nyumbani kwangu, watoto nipeleke kwa bibi yao mi nitafute chumba niishi Kama bachelor Mana sitokua mazingira ya nyumban kwangu nilipozoea kua na mke wangu na watoto labda itanisaidia .

Kwakweli sikutegemea ndoa inawezakuvunjika kirahisi hivi maana nilidhani Nina ndoa very strong (tulidhani tumewezakuchukuliana vyakutosha)

Separation sijambo rahisi wazee Kama unadhani unaweza kuokoa ndoa yako anyhow jitahidi uokoe before too late.

I missed her but Moyo wangu hauna Imani nae Tena nahisi nnahisi nnaweza fungwa kwa ajili take.

Usiombe

Hizi ni dalili za ugonjwa mbaya sana unaoitwa Oneitis, na definetely unaonekana ur a SIMP.
 
Pole mkuu!

Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana?

Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....

Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa

Mrudie!
Amrudie mkewe walee watoto wao, mambo madogo tu haya kayavalia njuga na kayakuuuuuuza ona sasa anateseka mwenyewe!!
 
Ni mijanaume ya kitanzania ndo ina mentality hiyo...lkn one day wanawake tutaamka na huo ndo utakuwa mwisho wa wanaume wanyanyasaji

Waamke mara ngapi we huoni kasi ya nyuzi za wanaume kusalitiwa na wake zao humu jamvini inavyoongezeka? Wanawake wameshaamka tayari, wanaume wakisaliti kushoto wao wanaenda kusaliti kulia mwisho wa siku wanakutana mahakamani kudaiana talaka.
 
😂😂😂😂😂😂 ukiwa siyo ME si rahisi kuelewa. Nyinyi ni rahisi sana kusamehe ME aliyechepuka hata kama ni ndani ya ndoa, lakini ni ngumu sana kwa ME. Jamaa anahofia angeweza kumdhuru mkewe au hata kumuua kwa hasira alizonazo. Ni bora aliondoka.

Tatizo hamkwenda jando nyie babu zenu wakawafunda. Mambo ya kawaida kabisa hayo, msikuze mambo.
 
Kwanini usijishushe kuomba msamaha mkuu mkaendelea nae tu ..

inaonekana umeingia uwanjani kucheza ligi kuu (ndoa)bila kucheza ndondo cup(kula ujana na kupitapita na wanawake kuwajua)...
My foot!!
Yaani amuombe msamaha mwanamke mzinzi!!
Mpaka umfumanie mwanamke jua ameshakudharau.
Na akaamua kuondoka kabisa.
Ukimrudia atakuua.
 
Back
Top Bottom