I missed JF!! Nabisha hodi baada ya kimya kireeeeefu!!

vanilla

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
448
356
Japo huwa ni msomaji zaidi kuliko kuchangia, but i really missed jF. I hope mwaka 2014 nitakua more active....

HODI HODI JF once again!!
 
Nani anakagua siku hizi?

ndugu yangu katavi siku hizi humu ndani wakaguzi kibao.sijui wakaguliwaji wamekua wengi ndo maana.ngoja baba v aje ajibu haya.mie mwenyewe mchumba wangu hajakaguliwa mpaka sasa.
 
Karibu sana hapa ndo mtoni,halafu hawa wakaguzi nahisi wamesahau kuweka mlinzi getini,utakaguliwa siku nyingine
 
Back
Top Bottom