"i miss youuu"...kwa kimatumbi(kiswahili) ndo tunasemaje vile?

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
eti ndugu zangu...nataka kumwambia rafiki...i miss you kwa kiswahili na apate maana itakayomuingia kama hii ya kizungu namwambiaje?
 
nimetamani kukuona kwa muda mrefu sasa/ nimekukosa kwa muda sasa/nimekukosa kwa muda sana
 
Natamani nikuone.
Ila dah,sina uhakika.Lakn ni vigmu sana kubadili kingereza kwenda kiswahli na siyo kama kiswahli kwenda kingereza.
 
Nashauri kuwa jukwaa hili tungelilitumia kwa lengo la kuwaelimisha na wengine pia. Nimeshangazwa kwamba 'I Miss You' inawashinda wanajamvi kuipatia tafsiri na badala yake wanaishia kupotosha ulimwengu! Kama hujui jambo si dhambi, jiweke kando wanagenzi watakujuza na wewe utaelimika, au siyo? I MISS YOU kwa tafsiri sisisi ya Kiswahili tunaambiana, "TUMEPOTEZANA"! na unaweza kuongeza vikorombwezo vingine kama "Tumepotezana sana" kumaanisha "I MISS YOU VERY MUCH" au "Tumepotezana, Mpendwa" kumaanisha "I MISS YOU, DEAR"!! n.k n.k n.k...........
 
Back
Top Bottom