Umenusurika kwenye kitu gani?nilikuwa kwenye mzigo wa kufunga na kuomba.
Tangu ninusurike nimekuwa mtu wa maombi sana
Na wewe nakumiss ujue. Hebu do the needful kabla sijawa chizi.Umenusurika kwenye kitu gani?
Na wewe nakumiss ujue. Hebu do the needful kabla sijawa chizi.
Lol... Huwezi kuwa chizi wakati nipo napumua!.. Ntaandamana walah tena..Na wewe nakumiss ujue. Hebu do the needful kabla sijawa chizi.
Khaaa! Unanitisha ujue!I smell blood...
Hilo nalijua, sasa huyu hapa chini mbona anitishia nyau?Lol... Huwezi kuwa chizi wakati nipo napumua!.. Ntaandamana walah tena..
I smell blood...
Hahaha.. Na wewe! acha kuniangusha bana. toka lini mtu mzima akatishiwa nyau?Hilo nalijua, sasa huyu hapa chini mbona anitishia nyau?
Ur well come again.
Na wewe nakumiss ujue. Hebu do the needful kabla sijawa chizi.
Umemwona na huyu mwingine hapa chini? Hebu ntafutie adhabu yake. BTW pole naona Igunga wameichakachua demokrasia ya siasa.Hahaha.. Na wewe! acha kuniangusha bana. toka lini mtu mzima akatishiwa nyau?
:ban:chizi....?
Umemwona na huyu mwingine hapa chini? Hebu ntafutie adhabu yake. BTW pole naona Igunga wameichakachua demokrasia ya siasa.
:ban:
Matenite unaposti vaya mobaili? Matenite wodi ya gesti hausi ipi?bahati yako nipo matenite.....
Huyo preta msamehe vile ni kosa lake la kwanza... Aisee ya Igunga haipoi... Inauma sana! Jana nimelala sa 9 usiku afu sa hizi nipo kwa mkoloni bt NO USHINDI.. Hebu fikiria ntapoaje jamani?!Umemwona na huyu mwingine hapa chini? Hebu ntafutie adhabu yake. BTW pole naona Igunga wameichakachua demokrasia ya siasa.
:ban:
Nimecheka kwa mara ya kwanza toka asubuhi...lol.. Matenite ya gesti hausi???..Matenite unaposti vaya mobaili? Matenite wodi ya gesti hausi ipi?
ha haaa haaa...............naomba niwe mgeni hapaMatenite unaposti vaya mobaili? Matenite wodi ya gesti hausi ipi?