I Miss You

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Yes. Namaanisha wewe na comments zako hapa jamvini.
Much love and respect
 
Umemwona na huyu mwingine hapa chini? Hebu ntafutie adhabu yake. BTW pole naona Igunga wameichakachua demokrasia ya siasa.

:ban:
Huyo preta msamehe vile ni kosa lake la kwanza... Aisee ya Igunga haipoi... Inauma sana! Jana nimelala sa 9 usiku afu sa hizi nipo kwa mkoloni bt NO USHINDI.. Hebu fikiria ntapoaje jamani?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom