Thinking a great wayIlishapangwa. Kaenda nunua gazeti karudi home, kamkuta wife kakasirika, kageuka kwaharaka amuache hasira zipoe, wife kasema ndio hapahapa kainua cha kusukmia chapati kakirusha amipige nacho cha kichwa, ghafla miwani inadondoka toka mkononi, jamaa anainama aokote miwani akasome gazeti, kisukuma chapati kinapita vuuuuuuuuuuuu....