I miss you? The real meaning!!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,530
Funny-Husband-Wife-Cartoons-Pictures-5-2.jpg
 
Ilishapangwa. Kaenda nunua gazeti karudi home, kamkuta wife kakasirika, kageuka kwaharaka amuache hasira zipoe, wife kasema ndio hapahapa kainua cha kusukmia chapati kakirusha amipige nacho cha kichwa, ghafla miwani inadondoka toka mkononi, jamaa anainama aokote miwani akasome gazeti, kisukuma chapati kinapita vuuuuuuuuuuuu....
 
Thinking a great way
 
Sijaelewa kabisa hapa.

CC:mshana jr njoo unifafanulie.

Sisi watu wa science bwana hatujuagi lugha za picha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom