Mangimeli
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,151
- 286
Jamani ninamaanisha i want to intr ma cv kabla ya yote,kishule nimeishia form four, ila ni mwajiriwa srkln, ma age is 30 yrs,ninayemtaka asivuke 28,elimu form four na kuendelea, na awe na mawazo ya maendeleo,ila na awe tayari kup endwa, nawasilisha wakuu.