Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 940
- 1,123
Nimeanza kwa umombo kwa title hapo juu. Nina degree ya uhandisi katika hii fani pendwa....
Nilikuwa mtu wa Mungu Sana wakati napiga security. Sasa katika eneo la ku compromise Akaunti za watu niliona natenda Dhambi.
Nawaza sana watu wanaodukuana.
Mimi sinauwezo wa kuhack hata Akaunti ya facebook. Achilia mbali kusoma message za watu kwenye simu zao.
Kubwa zaidi ni security ya mitandao hapa Tz iko unsecured 50++ percentage...
Nije na kaushauri...someni sana security maana ulinzi ni uhai..