I loved you a lot but i don't need you any more, i hate you

X GIRL FRIEND

Member
Sep 2, 2011
69
21
I gave my heart my soul my body and my trust, i loved you more than everthing, sijawahi kukucheat hata siku 1. But now umeamua kunitenda unatongoza mwanamke JF bila kunihurumia, kwanini mpenzi wangu? Nimekukosea nini?. Naumia sana, sijawahi kuumia hivi.

,MY LOVE FIGGANIGGA REMEMBER THAT I LOVED YOU A LOT AND I WILL ALWAYS LOVE YOU BUT SITAKUSAMEHE na anzia leo I DON'T WANA SEE U EVER AGAIN,

Dedication 4 u:

I WILL ALWAYS LOVE YOU by witney houston.

BYE
 
XGF,makubwa HAYA maana madogo yana afadhali,kulikoni ina maana mlipeana password? kwa uchungu kabisa umetengeneza na ID mpya ili umsomee riot act? Du! njemba haitalala leo.You know what punguza munkari hasira zikipoa ongeeni maana mambo ya internet haya labda alikuwa anafanya mzaha tu na wala si hivyo unavyofikiria.Anyways nice weekend,karibu Tandale kwa mtogole tupate supu ya miguu ya kuku.
 
Heeeee i love u mwisho i hate you, hata hajielewi kweli mapenzi ni upofu, mambo ya jf unayachukulia serious kiasi hicho binti?
una hakika gani anatongoza?

In all fairness X GIRL FRIEND used "loved" as opposed to ‘I love you'.
 
Heeeee i love u mwisho i hate you, hata hajielewi kweli mapenzi ni upofu, mambo ya jf unayachukulia serious kiasi hicho binti?
una hakika gani anatongoza?
hata mimi huwa nayachukulia sirias!
 
Mapenzi ya dedication za nyimbo za Whitney Houston bana
Bado yana nafasi kw akundi fulani
 
dah mafumanizi ya sikukuu hadi humu? Hebu mtaje huyo mdada
 
Tukiacha utamaduni huu uendelee
wa watu kutongozana halafu kuja kuanzishiana threads hapa...

Tutadharaulika waliokuwemo na wasiokuwepo.........

Ukitongoza au kutongozwa yaishie huko huko pm
 
niwe nae na huruma?
Wakati wanatongozana nilikuwepo?
Una uhakika gani labda na mimi nna machungu yangu yananisumbua hapa??????
Huu ni utoto period......

Machungu na nyimbo ya whitney houston????????
Si sinema hii......

khaa kwani ukiwa na yako na ya wenzio ndo uyaone ni utoto? (umenikumbusha nyimbo moja eti s tuna sshida zetu tusikize zako za nini?)

na wewe kumbe mada unazochangiaga na kusononeka na wahusika ulikuwepo walipotongozana?

huo wimbo bana mwenyewe nadhani anasisitizia alichosema kwamba alimpenda sana na atampenda daima ila hataki kamwe kumwona....

hapo sijui akili inasema ndio na moyo unasema hapana....tabu tupu!
 
Back
Top Bottom