I loved you a lot but i don't need you any more, i hate you

Kha kashaumizwa mtu yalabi toba...... una muda gani nae..pole sana ndio maisha unasonga mbele tu, usikate tamaa
na pia jifunze kutokumchunguza sana bata, mwisho wake nyama utashindwa tu kuila
 
Hahaha basi bwana bora nitimke manake itakuwa biriani imenipanda kichwani...lol

hahaaaa lol!! na aliyelikorofisha jana basi huyo na aendelee hivyo hivyo...(hata kama ni wewe)

usiende bana, baki baki hapa, maana nipo naandika maksi zako na za NN ukiondoka katikati ya zoezi utaniharibia mpango! lol
 
X,mimi husninyo ni mtaani wangu wala sijawahi kukutana nae kimwili.vilevile mimi sijakuacha ila nmekupa likizo ili nikufanyie uchunguzi wa tuhuma zako.kwa hiyo usifikili hapa jf watakusaidia chochote.husninyo hajakupindua ila ana sifa zote za kuwa mwanamke.nakuomba uachane na mambo ya social forums.mipango si matumizi.Na ukiendelea kunichokoza nataja id yako na jina na maovu yako ili jf na dunia nzima wakujue.uliyoyasema yote nakanusha.
DEDICATION;
dillema by nelly ft kelly.
MIA.
 
Huuuuuh!!! Hiii Kali

Bwa! Ha! Ha!
 
sasa tunasikiliza kesi upande wa pili.
 
Duh figa kuwa na huruma
 
kumbe tutajuaje ni uzushi au ukweli? lol

btw: nachukia kicheko chako wewe na Gaijin....(msinirarue lol)

Kama huna jinsi ya kujua baki nyutroo kama mimi au chukulia kila ulionalo hapa JF na grain of salt. For all I know X and Figanigga could be one and the same.
 
Back
Top Bottom