I love you!!!!!!!!!!

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Wana JF naomba mnishauri kitu mimi kuna dada mmoja ninampenda sana na yeye analifahamu hilo maana nimewahi kumueleza kwamba nina mpenda sana ningependa tuoane, akaniambia hapana maana yeye hana mpango wa kuwa na mimi na kuishi nami kama mkewe japo, huwa ananitumiaga meseji mara kwa mara kwamba ananipenda, mpaka sasa amenitumia meseji kumi na nne zinazosema ''I love you'' siku tofauti tofauti, mara tatu nilimuomba tutoke alikubari lakini nikimueleza suala la kuoana anakataa, nikiomba kufanya naye mapenzi hataki, kumbuka ninampenda kweli, huu ni mwezi wa sita ananifanyia hivi. nifanyeje na huyu dada?
 
si lazima
anakupenda kiagape zaid
pole sana bt usife moyo we gangamala tu ipo siku mambo yatatik!
 
Nenda nae mdogo mdogo, na kama uko serious kumuoa basi tuma mshenga aongee nae.
 
Wana JF naomba mnishauri kitu mimi kuna dada mmoja ninampenda sana na yeye analifahamu hilo maana nimewahi kumueleza kwamba nina mpenda sana ningependa tuoane, akaniambia hapana maana yeye hana mpango wa kuwa na mimi na kuishi nami kama mkewe japo, huwa ananitumiaga meseji mara kwa mara kwamba ananipenda, mpaka sasa amenitumia meseji kumi na nne zinazosema ''I love you'' siku tofauti tofauti, mara tatu nilimuomba tutoke alikubari lakini nikimueleza suala la kuoana anakataa, nikiomba kufanya naye mapenzi hataki, kumbuka ninampenda kweli, huu ni mwezi wa sita ananifanyia hivi. nifanyeje na huyu dada?

Jamani pole,lkn hata akikuambia i lov u mara 100 inawezekana pia hamaanishi au anamaanisha lkn upendo wa kawaida na hayuko tayari kuolewa na wewe.Kumpenda mtu lazma kufanya mapenzi tena ndani ya miezi 6??????badili strategy,,,,,,,
Hizo nywele usoni mh!evolution bado inaendelea eeh?ha ha ha
 
Ni lazima uoneshe kuwa you are serious. Na kosa ulilofanya ni kuomba kulamba nakuchakachua!!. Ilibidi utangaze msimamo wako ujulikane kama ni kuvinjari na kuondoka basi ijulikane na kama ni kuoa basi straight ungeng'ang'ania hilo. Endelea ila mambo ya kuomba uchi kabla acha!! Kama ni mdada anayejitunza atadhnia kuwa lengo lako no uroda!! Na usimbugudhi kila saa. Have some interval!, vizawadi kadhaa visikose. chunguza anapendea nini halafu unashtikiza. ila usiombe hapohapo mambo ya ndoa. Mpaka some time na ikiwezekana win na rafiki zake wa karibu, mwagie misifa kila saa!!
 
mm sijawahi kumwabia mtu i luv you truely, excpt my GF huwa natumia uhandsome wangu na naingia kichwa kichwa hadi uani, nashtukia nimekula
kitu, i never missed a target, namba ya simu tu nikipata tayari nimekula, au sijui kwasbb na kazi na hali nzuri ya maisha but wajameni i never
missed a woman, huyu bado hajakua mwaume bado, huwezi kutangaza ndoa hewani hata mwanamke atajua unamdanganya, test na demu aridhike, then tangaza ndoa, ukimtetemekea mwanamke sana utakosa, tuliza ball, then piga, but appreciate her kiakili, siwezi kukueleza everything jinsi ya kutongoza kwani approaches differ with each woman, mm nikimwangalia tu hivi, her status kimaisha, elimu nk, najua naingia vipi ili mradi
nimeona ananifaa, never miss a target, but i have my GF, so huwa nafanya as extra si kufukuzia sana, ila nakumbuka one woman niltumia 2 months
bila kumla that was the longest period, na sitongozi malaya nieleweke so jifunze bana
 
Wana JF naomba mnishauri kitu mimi kuna dada mmoja ninampenda sana na yeye analifahamu hilo maana nimewahi kumueleza kwamba nina mpenda sana ningependa tuoane, akaniambia hapana maana yeye hana mpango wa kuwa na mimi na kuishi nami kama mkewe japo, huwa ananitumiaga meseji mara kwa mara kwamba ananipenda, mpaka sasa amenitumia meseji kumi na nne zinazosema ''I love you'' siku tofauti tofauti, mara tatu nilimuomba tutoke alikubari lakini nikimueleza suala la kuoana anakataa, nikiomba kufanya naye mapenzi hataki, kumbuka ninampenda kweli, huu ni mwezi wa sita ananifanyia hivi. nifanyeje na huyu dada?

mbake
 
mm sijawahi kumwabia mtu i luv you truely, excpt my GF huwa natumia uhandsome wangu na naingia kichwa kichwa hadi uani, nashtukia nimekula
kitu, i never missed a target, namba ya simu tu nikipata tayari nimekula, au sijui kwasbb na kazi na hali nzuri ya maisha but wajameni i never
missed a woman, huyu bado hajakua mwaume bado, huwezi kutangaza ndoa hewani hata mwanamke atajua unamdanganya, test na demu aridhike, then tangaza ndoa, ukimtetemekea mwanamke sana utakosa, tuliza ball, then piga, but appreciate her kiakili, siwezi kukueleza everything jinsi ya kutongoza kwani approaches differ with each woman, mm nikimwangalia tu hivi, her status kimaisha, elimu nk, najua naingia vipi ili mradi
nimeona ananifaa, never miss a target, but i have my GF, so huwa nafanya as extra si kufukuzia sana, ila nakumbuka one woman niltumia 2 months
bila kumla that was the longest period, na sitongozi malaya nieleweke so jifunze bana

ndugu unatongoza bikra eeh
 
Yap kaka huo ndo ukweli inawezekana ni sura mbaya na hana hali nzuri ya kimaisha siku totoz zinaangalia future.

mm sijawahi kumwabia mtu i luv you truely, excpt my GF huwa natumia uhandsome wangu na naingia kichwa kichwa hadi uani, nashtukia nimekula
kitu, i never missed a target, namba ya simu tu nikipata tayari nimekula, au sijui kwasbb na kazi na hali nzuri ya maisha but wajameni i never
missed a woman, huyu bado hajakua mwaume bado, huwezi kutangaza ndoa hewani hata mwanamke atajua unamdanganya, test na demu aridhike, then tangaza ndoa, ukimtetemekea mwanamke sana utakosa, tuliza ball, then piga, but appreciate her kiakili, siwezi kukueleza everything jinsi ya kutongoza kwani approaches differ with each woman, mm nikimwangalia tu hivi, her status kimaisha, elimu nk, najua naingia vipi ili mradi
nimeona ananifaa, never miss a target, but i have my GF, so huwa nafanya as extra si kufukuzia sana, ila nakumbuka one woman niltumia 2 months
bila kumla that was the longest period, na sitongozi malaya nieleweke so jifunze bana
 
Huyo anakupenda kiukweli hataki muanza kuchakachuana mapema na anakuangalia kama uko serious kweli au lah. Vumilia si lazima sana kumchakachua saaa hizi usihofu my dear kuwa mpole tu
 
Mchunie kama wiki hivi; hupokei simu, hujibu meseji, humtembelei. Siku akikuona baada ya huo mchuno lazima akubake.
 
kama mtu amekuambia hakutaki maana yake hakutaki, sasa ww unaendelea kufukuzia kitu gani? humjui hakujui! tena kwa sasa ni bora uepuke na mahusiano kabla ya kupima ngoma huwezi jua Mungu anakuepusha nini? kaa chini ufikirie kama hakupendi hachana na kama amesema hataki olewa na wewe mwache dont waste your time. ukimpata alie wako utamjua tu wote mtapendana from no where.
 
Back
Top Bottom