Jozee mkunaji
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 459
- 611
: Kama ukiwa mwanamke wangu, me ni aina ya mwanaume ambae siogopi kufanya lolote kwa ajili yako. Unahitaji nikakununulie ped? Nitakununulia. Unataka nibebe pochi yako? Bila shaka nitaibeba.
Unataka kunipaka make ups..yes go on nipake tu, unataka kupaka rangi kucha zangu...sina tatzo fanya unalojisikia. Unataka nitengeneze nywele zako? Niko tayari! Hauhitaji nkununulie zawadi yoyote!! Me sijali nitakununulia anything chenyewe ninaweza ku-afford!
Una hamu ya chocolate kipindi uko period? Wala usijali ntaenda kukununulia, unahisi mgongo unakuuma nipo ready kukufanyia 'massage'..!!
Haujisikii vizuri! Usiwe na wasiwasi ntakupikia chakula kitamu!! Wewe ni mwanamke wangu, nipo tayari kufanya lolote lililopo ndani ya uwezo wangu kukufanya uwe na furaha muda wote..
Sijakufahamu kwa bahati mbaya, nafahamu thamani yako kwangu..i'm not like others...nafahamu thamani yako...nachohitaji ni upendo na utii wako tu...upendo na utii tu...nothing else then i will spoil you with those!!
"In this crazy world, full of change and chaos, there is one thing of which I am certain, one thing which does not change: my love for you."
I love you babe....