I love you baby

Jozee mkunaji

JF-Expert Member
Jun 11, 2017
459
611
: Kama ukiwa mwanamke wangu, me ni aina ya mwanaume ambae siogopi kufanya lolote kwa ajili yako. Unahitaji nikakununulie ped? Nitakununulia. Unataka nibebe pochi yako? Bila shaka nitaibeba.

Unataka kunipaka make ups..yes go on nipake tu, unataka kupaka rangi kucha zangu...sina tatzo fanya unalojisikia. Unataka nitengeneze nywele zako? Niko tayari! Hauhitaji nkununulie zawadi yoyote!! Me sijali nitakununulia anything chenyewe ninaweza ku-afford!

Una hamu ya chocolate kipindi uko period? Wala usijali ntaenda kukununulia, unahisi mgongo unakuuma nipo ready kukufanyia 'massage'..!!

Haujisikii vizuri! Usiwe na wasiwasi ntakupikia chakula kitamu!! Wewe ni mwanamke wangu, nipo tayari kufanya lolote lililopo ndani ya uwezo wangu kukufanya uwe na furaha muda wote..

Sijakufahamu kwa bahati mbaya, nafahamu thamani yako kwangu..i'm not like others...nafahamu thamani yako...nachohitaji ni upendo na utii wako tu...upendo na utii tu...nothing else then i will spoil you with those!!

"In this crazy world, full of change and chaos, there is one thing of which I am certain, one thing which does not change: my love for you."

I love you babe....
 
Madem wa siku hiz huwa wanatabia ya kuramba minduku wakati wa game

Vipi akitaka akurambe huko utampa?
 
Hata marinda utamtolea jooh
Kama umeshajitosa hvo
Kama hujaish kenya cjui
 
: Kama ukiwa mwanamke wangu, me ni aina ya mwanaume ambae siogopi kufanya lolote kwa ajili yako. Unahitaji nikakununulie ped? Nitakununulia. Unataka nibebe pochi yako? Bila shaka nitaibeba.

Unataka kunipaka make ups..yes go on nipake tu, unataka kupaka rangi kucha zangu...sina tatzo fanya unalojisikia. Unataka nitengeneze nywele zako? Niko tayari! Hauhitaji nkununulie zawadi yoyote!! Me sijali nitakununulia anything chenyewe ninaweza ku-afford!

Una hamu ya chocolate kipindi uko period? Wala usijali ntaenda kukununulia, unahisi mgongo unakuuma nipo ready kukufanyia 'massage'..!!

Haujisikii vizuri! Usiwe na wasiwasi ntakupikia chakula kitamu!! Wewe ni mwanamke wangu, nipo tayari kufanya lolote lililopo ndani ya uwezo wangu kukufanya uwe na furaha muda wote..

Sijakufahamu kwa bahati mbaya, nafahamu thamani yako kwangu..i'm not like others...nafahamu thamani yako...nachohitaji ni upendo na utii wako tu...upendo na utii tu...nothing else then i will spoil you with those!!

"In this crazy world, full of change and chaos, there is one thing of which I am certain, one thing which does not change: my love for you."

I love you babe....

Good to know, seems like hata akitaka kupima oil ktk 4G, ruksa !! Upo vzr mwana...
 
Hasara za kuandika thread huku ukiwa na mihemko, ndio hizi hapa akili ya kawaida haijatumika, imetumika mihemko tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom