I love u .... No matter what.

sarikoki

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
1,194
721
Nilijaribu kumuuliza palepale maana aliongea kwa sauti ya chini alafu kama ananung'unika vile lakini hakunijibu chochote.... ni case ambazo zilikua zinajirudia rudia mpaka nilipompata my wife wangu.

Kama heading inavyosema kwa mimi binafsi huwa ilikua wanawake wananiambia wamefall siku ya kwanza ambayo tulifanya sex.... na maneno yalitoka bila kujijua katikati au baada tu ya sex .....na nikimuuliza anasemaje ili arudie alichosema alikaa kimya. Nilihisi labda waliona aibu maana kikawaida huwezi fall ndani ya week or two..na mimi nilikua namalizaga within a week ikizidi hapo napiga chini.

Maneno niliyokutanaga nayo ni kama..
I THINK I AM IN LOVE WITH U....
I AM IN LOVE WITH YOU NO MATTER WHAT...
I WANT YOU IN MY LIFE.....

Sasa najiuliza hivi mwanamke hawezi fall in love na mwanaume kabla ya kusex? Je sex ndio ina determine kama unampenda mwanaume.au mwanamke.
 
Mwanamke anaweza fall in love kabla ya kusex. Kinachotokea hapo ni kuwa sex ndio hitimisho la hatua ya kwanza kwamba huyu mwanamume ni rijali na kidume kinachotakiwa then mengine yataendelea. Hata hivyo sex sio kigezo cha kutopigwa kibuti endapo kuna udhaifu mwingine utaonekana kwako.
 
mh!kwa mwendo huu itabidi tu !the boss aanze kunichaji kodi kwa kale ka msemo kake.am too old for this!
 
(Chorus)
I don't know what is it but I Love you (x3)I don't know what you do but I love youOooh baby

(Verse 1)
Baby I don't know what it is but you drive me crazyAnd every time I'm around you girl it feels amazingAnd I'm on my best behavior when I'm with my babyCause I can't lose my baby...
(Hook)I done met a lot of girls in my life but they not like you Nooooooooooo I done been with the best, andBaby you're the best of the bestYou're the greatest.

(Chorus)
I don't know what it is but I I love you(x3)I don't know what you do but I love you(x3)I don't know what it is butI love you(x3)I don't know what you do but I love you
Oooh Baby

(Verse 2)
Baby When you're gone all I do is think about my baby I'm so gone off your loving I don't know why Maybe it's the way you love me, hold me, kiss me Cause Baby I...

(Hook)I done met a lot of girls in my life but they not like you Nooooooooooo I done been with the best, and Baby you're the best of the best You're the greatest.

(Chorus)
I don't know what it is but I love you(x3)I don't know what you do but I love you(x3)I don't know what it is butI love you(x3)I don't know what you do butI love youOooh baby

(Bridge)
Whatever it is... I'm satisfied I don't want you to ever change Cause Baby you got me and that's no lie I'ma stay right here with my baby and I don't know why

(Chorus)
I don't know what it is but I love you(x3)I don't know what you do butI love you(x3)I don't know what it is butI love you(x3)I don't know what you do but I love you
Oooh baby...
 
Last edited by a moderator:
use it for free lol

Kwa mwendo unavoendelea humu jamvini siku hizi walahi,kuna siku itabidi uuwekee stamp duty!manake dah.
kama ni michezo basi hii wangoni wanaiita madangi!muulize Moto 2012 akwambie maana yake!
 
Last edited by a moderator:
nilijaribu kumuuliza palepale maana aliongea kwa sauti ya chini alafu kama ananung'unika vile lakini hakunijibu chochote.... Ni case ambazo zilikua zinajirudia rudia mpaka nilipompata my wife wangu.

Kama heading inavyosema kwa mimi binafsi huwa ilikua wanawake wananiambia wamefall siku ya kwanza ambayo tulifanya sex.... Na maneno yalitoka bila kujijua katikati au baada tu ya sex .....na nikimuuliza anasemaje ili arudie alichosema alikaa kimya. Nilihisi labda waliona aibu maana kikawaida huwezi fall ndani ya week or two..na mimi nilikua namalizaga within a week ikizidi hapo napiga chini.

Maneno niliyokutanaga nayo ni kama..
I think i am in love with u....
I am in love with you no matter what...
I want you in my life.....

sasa najiuliza hivi mwanamke hawezi fall in love na mwanaume kabla ya kusex? je sex ndio ina determine kama unampenda mwanaume.au mwanamke.

hapo nilipo-bold na red color naamini ndio pamenizuia kuchangia mada yako whatsoever, no matter whaaaat....ngoja waje hao wanao-fall in love.
 
Nilijaribu kumuuliza palepale maana aliongea kwa sauti ya chini alafu kama ananung'unika vile lakini hakunijibu chochote.... ni case ambazo zilikua zinajirudia rudia mpaka nilipompata my wife wangu.

Kama heading inavyosema kwa mimi binafsi huwa ilikua wanawake wananiambia wamefall siku ya kwanza ambayo tulifanya sex.... na maneno yalitoka bila kujijua katikati au baada tu ya sex .....na nikimuuliza anasemaje ili arudie alichosema alikaa kimya. Nilihisi labda waliona aibu maana kikawaida huwezi fall ndani ya week or two..na mimi nilikua namalizaga within a week ikizidi hapo napiga chini.

Maneno niliyokutanaga nayo ni kama..
I THINK I AM IN LOVE WITH U....
I AM IN LOVE WITH YOU NO MATTER WHAT...
I WANT YOU IN MY LIFE.....

Sasa najiuliza hivi mwanamke hawezi fall in love na mwanaume kabla ya kusex? Je sex ndio ina determine kama unampenda mwanaume.au mwanamke.

kha mwanawane wewe nahisi utakuwa military general maana una apply ile priciple ya " no nation has ever benefited from prolonged warfare" vijana wote wanatakiwa kufuata hii principle. sio jitu bembeleza mwanamke miezi kisa K tafikiria yupo peke yake hapa loh!!!

back to mada...mienaona kweli wakati wa game jamani wadada wanachizikaga nyie acha tuu wengine mpaka anaanza kukuslap kwa raha...so labda ndio natural response ya hiyo raha
 
Determination yako ilikuwa ni kusex tuu na wala sio kumpata mtu ambaye utaishi nae katika maisha yako yote, dio maana ulikuwa ukimkosa kumlamba ndani ya wiki tu unampiga chini.
Yes! Yes! Yes! that is your impression kwa wanawake wengi uliokutana nao.

Wanawake kwa Wanaume wanaweza kufall in love na mtu na wakakaa kwa muda mrefu tu bila ya kufanya sex, mathalani huyo unayesema mke wako kwa sasa.
 
mapenzi ni zaidi ya kusex ... na ni very possible na kawaida kumpenda mtu kabla ya sex otherwise inaweza kuwa ngumu kuenjoy unachofanya.
Nitarudi!
 
Hiyo unayosema ilifaa kipindi cha uhuru wa Tanganyika...sasa hivi watu wanawaza kutafuta pesa anakuambia wazi tu...biashara ya ngoja nikafikirie kwanza hamna......labda wanafunzi.
 
mapenzi ni zaidi ya kusex ... na ni very possible na kawaida kumpenda mtu kabla ya sex otherwise inaweza kuwa ngumu kuenjoy unachofanya.
Nitarudi!

Huwa mimi napingana sana na huu msemo wa Mapenzi ni zaidi ya sex... nimeona mahusiano mengi yanavunjika kwa sababu ya Sex...nimeona uchumba unavunjika dakika za lala salama kwa sababu tu jamaa performance yake ya kusex haijamridhisha demu.... kwa hiyo mimi nadhani Sex ni zaidi ya mapenzi..sex ndio inafanya mwanamke au mwanaume ampende mwenzi wake...
 
Hiyo unayosema ilifaa kipindi cha uhuru wa Tanganyika...sasa hivi watu wanawaza kutafuta pesa anakuambia wazi tu...biashara ya ngoja nikafikirie kwanza hamna......labda wanafunzi.

According to this, many of marriage last for only one year.
 
According to this, many of marriage last for only one year.

Kabisa....lifestyle imechange watu wako busy na kutafuta pesa..girls are too demanding...... kwa hiyo vijana wa sasa hivi wanaoana hawajajuana kwa undani.
 
Back
Top Bottom