I Know somebody who knows somebody who knows somebody

Smarter

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
527
109
Habari za J3.

Upande huu ni kama mida haiendi kabisaa. Ingawa KPI zimesoma.

sasa, Je, Una mshkaji/rafiki who knows somebody who knows somebody who knows somebody ambae ana connection/ Info/ product/service expatriate unayoitaka?

Nafikiri ni muhimu sana kutengeneza hizi Network.

Ni kama, over years nimejifunza kuwa, hard work/ diligence/ smart work/ etc vinahitaji pia network and technical politics. Wakubwa mnaweza nielewa.

Basi fresh. Sio vibaya ukaleta mawazo yako pia hapa.
 
Naona siku hizi mna andika upuuzi huku mkitegemea wakubwa wataelewa

Bullshit
Hii kidogo inahitaji akili ya tofauti kuielewa Boss. Kwa maana nyingine. Chochote unachokitaka, ama kile you are working on, kuna mtu mahala fulani anacho, ama anafahamu namna kinapatikana.

Kuna exisiting GAP kati ya anaetaka, anaetafuta na alienacho ama anaejua wapi kinapatikana. Hii GAP between you two, Nila zima iwe filled na mtu. Hivyo basi, wakati wote, jaribu kutafuta Somebody who knows somebody who HAS or Know how to get that.

KAMA KUNA MKUBWA MWINGINE HAJAELEWA. Anaweza kuja nifanye ufafanuzi zaidi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom