i hope i will move on though its hard

oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
52
habari zenu wana MMU?my boyfriend who was going to be my husband jus broke up with me,sababu nimemwambia a postpone dowry/brideprice because hatupo in good terms yani,kila mara ananiambia its over,na kunikashfu,sasa mimi nimeona kua marriage now its a tough thing yaan ukizingatia am 23 and he is 24,na tunagombana sana,na kisa kikubwa to why alikua anafanya hayo yote ni kwasababu i did something bad to im,i cheated im 3 yrs ago,so he has being acting so weired yaan,its hard to walk away
 
mhm....u will always be a slavein that relationship becoz he dont trust u anymore. paki vilago na kula go.
 
Eee pole ila cheating mbaya sana aisee hope umepata kitu ya kujifunza.
Utaendelea na maisha na utapata mwingine ila kumbuka usimcheat na huyo
Samahani je mmekuwa kwenye mahusiano kwa muda gani?
 
umefanya sahihi!
TUNAKOSEA TUNASAMEHEWA TUNAKOSEWA TUNASAMEHE!
kama hii doesnot apply in ur relationship then hakuna mahusiano hapo!
move one yupo mwingine atakayekuvalue katika uhalisia wa thamani yako!
MAPENZI NI PAMOJA NA FURAHA mamii!
 
tanx my dear snow white
 
Move on my dear. Umetumia busara sana, huwezi kulipiwa mahari na mtu ambae hamko kwenye good terms. Nakuahidi, baada ya ndoa ndo mambo yangekuwa magumu zaidi. Kucheat kuna gharama kubwa, huwezi kuaminika kirahisi. Chukua hatua ngumu, msamehe kwa kushindwa kukusamehe na wala usimchukie.

Jipe nafasi, usikimbilie relation nyingine.
 
habari zenu wana MMU?my boyfriend who was going to be my husband jus broke up with me,sababu nimemwambia a postpone dowry/brideprice because hatupo in good terms yani,kila mara ananiambia its over,na kunikashfu,sasa mimi nimeona kua marriage now its a tough thing yaan ukizingatia am 23 and he is 24,na tunagombana sana,na kisa kikubwa to why alikua anafanya hayo yote ni kwasababu i did something bad to im,i cheated im 3 yrs ago,so he has being acting so weired yaan,its hard to walk away[/
sikiliza huu mwimbo you tube .by heather nova mwimbo unaitwa " london rain" American version .Utampigia magoti
 
Move on my dear. Umetumia busara sana, huwezi kulipiwa mahari na mtu ambae hamko kwenye good terms. Nakuahidi, baada ya ndoa ndo mambo yangekuwa magumu zaidi. Kucheat kuna gharama kubwa, huwezi kuaminika kirahisi. Chukua hatua ngumu, msamehe kwa kushindwa kukusamehe na wala usimchukie.

Jipe nafasi, usikimbilie relation nyingine.

Listen to the song by Heather Nova " london rain " American version utarudi kwa magoti .msikilize mkiwa wote
 
umefanya vizuri sana, KUKOSEA KWAKO HAKUKUFANYI USIWE BINADAMU. inauma sana kumcheat mtu lakin unapo admit your mistakes na kukiri inabidi usamehewe na asiposamehe basi huwez kuunga maisha kwamba nikate hapa kutokusamehe niunge na maisha mazuri tuendelee.

take it from me hakuwa wako angekuwa wako angesamehe tu. usijali na fanya kama alivyosema King'asti
 
Last edited by a moderator:
Listen to the song by Heather Nova " london rain " American version utarudi kwa magoti .msikilize mkiwa wote

usimdanganye mwenzio arudi kwa magioti kwa lip?? kama mtu hana moyo wa kusamehe unaweza kuunga?? sawa alimpenda lkn hatoi kosa lako moyoni utaunga??? BTW ni mchumba tu sasa yanin kujibebesha msalaba?? leo umekosea ukiwa mchumba anakuhukumu kiasi hiki je ukiwa mke hajakufunga kwenye gari na kukuburuta wewe ufe??

bwana anamaumivu ya kuwa cheated sasa huwez kuunga tena let the past go basi haya ni maisha na so far haina mana kwamba umekosea basi maisha yamesimama yanakusubiri ulipo, hapana na wala haina maana ukaudhalilishe utu wako kwa makosa uliyoyajutia. sometimes women need to firm especially kabla hawajaingia kwenye hii business ya ndoa
 
Sikiliza mwimbo ndio u comment.
 
Back
Top Bottom