I have observed... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I have observed...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyani Ngabu, Jan 19, 2010.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Jan 19, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  The recent earthquake in Haiti has uncovered to me a troubling problem and I believe many others are troubled by it to some degree. That problem is the high number of orphans. Surely the earthquake has worsened that problem and now there will even be more children with no parents.

  By now most of us have seen the wall to wall media coverage of the unspeakable suffering that the Haitian people are enduring. The international community has also responded in aid and help. Many American families are coming forward to adopt these orphaned kids. Some families were already in the process of adopting before the quake hit.

  But what I have observed on television is that most of these families that are adopting or want to adopt these kids are white. So far I haven't seen any African American couple/ family that has adopted or want to adopt these kids. All I see on tv are white couples. So my thing is, why aren't African American families adopting these Haitian kids? Are white people more benevolent than black people or what?

  Haiti is 90 plus percent black. You would think that African Americans would have more of a connection to Haiti than let's say the Dutch (who have just taken about 100 kids for adoption after the quake). So why aren't they stepping up to the plate in huge numbers and adopt those kids? I could be wrong but it is just my observation.....
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Economics mazee.We unafikiri kum-adopt mtoto mchezo, watu wanashindwa kuzaa itakuwa ku adopt?

  Halafu ku adopt mtoto ni zaidi ya kutoa mchago wa pesa.Mchango wa pesa hata kinasie tunaweza kutoa kwa sababu ni a one time thing, ili ku adopt ni lazima uwe na uhakika wa kumsomesha mtu na kumlisha mpaka atakapojitegemea , na hata hapo anaweza kukurudia.African Americans wapo wenye uwezo huu lakini proportionally ni wachache, na katika hao wachache, wenye moyo ni wachache, na kati ya ao wenye moyo, utakaoweza kuwaona au kusikia ni wachache zaidi.

  Ila wapo.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jan 19, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha kwa kweli kuona vile vitoto yatima vikitaabika.
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Halafu utasikia watu wanakwambia "mungu ana nguvu na upendo wote".

  Wewe unaonaje hiyo thinking O?

  Mungu my foot!
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Jan 19, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Hizo nguvu na upendo mimi sivioni kwa sababu wakati vinapohitajika zaidi kuliko wakati mwingine he (god) is nowhere to do his thing. It's just a bunch of baloney to me.
   
 6. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Sawa, inasikitisha kuona vitoto yatima vikitaabika - je vipi vitoto vinavyotaabika hapa nchini Tanzania bila tumaini lolote la kupata msaada huku nyumba anayokaa gavana ikigharimu dola milioni ?
   
 7. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #7
  Jan 19, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  halafu process ya kuadopt mtoto siyo fupi. Kabla hujaleta mtoto US unatakiwa upate ruksa ya serikali kufanya hivyo. ruksa hiyo inategemea kama una rekodi nzuri za kifedha na kimaadili, mambo ambayo ni familia chache za african american wanaoweza kuqualify. Utakuta hao wanaoqualifiy labda tayari walishaadopt wa kutoka kwenye megeto hivyo hahawezi kuruhusiwa kuongeza tena.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Jan 19, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  That's even worse because in the best of times (relatively speaking) we suffer. Can you imagine in the worst of times? We will be Haiti x 100!!!
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Very important point Kichuguu.

  Kuna watu kibao wanawa blast kina Jolie kwamba wana adopt nje ya Marekani wakati Marekani kuna umasikini kibao.

  Chances are weusi wenye uwezo na moyo wa kuadopt washa adopt kutoka ma ghetto.

  But this still does not anwser the god dilemma.

  Mi naona kama Omega, huyu mungu kachorwa tu.Hata Superman na Spiderman nawaona wana maana kuliko huyu mungu, maana ingaa wote (mungu, Superman, Spiderman) ni fictional characters wenye supernatural powers, angalau Superman na Spiderman anatumia nguvu zao kuepusha majanga.

  Huyu mungu kakaa tu anasubiri kusifiwa tu (tena anapenda sifa huyo), wakati hata hatumii nguvu zake kusaidia watoto wasio hatia.
   
 10. J

  JokaKuu Platinum Member

  #10
  Jan 19, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,802
  Likes Received: 5,096
  Trophy Points: 280
  ..mimi kinachonishangaza ni huu mlipuko mkubwa wa watoto wa mitaani/yatima na taasisi zinazoshughulika kuwalea.

  ..MILA na TARATIBU za kwetu zinaelekeza kwamba, ikiwa watoto watapoteza wazazi wao, basi lazima ndugu wachukue jukumu la kuwalea watoto hao.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jan 19, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Labda wenzetu wana mila tofauti na za kwetu....
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Hata definition ya "ndugu" na "familia" ni tofauti katika mila tofauti.
   
 13. J

  JokaKuu Platinum Member

  #13
  Jan 19, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,802
  Likes Received: 5,096
  Trophy Points: 280
  O-p-p,

  ..kwenye hoja yako umekuwa more specific kwa kuwaangalia Wamarekani Weusi.

  ..nadhani kwa Wazungu, adoption ni moja kati ya options zao ktk kujenga familia. kuna Wazungu hawataki kuzaa, they just want to adopt.

  ..kwa upande wa Waafrika, kwa kweli adoption ya mtoto asiyekuwa na mahusiano ya kindugu naye, nadhani is something that is "foreign" to them, and almost the last option ktk kujenga familia.
   
 14. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #14
  Jan 19, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,600
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  sheria ya Tanzania inasemaje, je unaweza kuadopt mtoto toka nje ya nchi? just question, we have so may orphan in our country
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jan 19, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Kinachonitatizaga mimi ni nikiwa nasikiliza hizi radio talk shows. Wanugu huwa hawafurahii sana kuona wazungu waki adopt watoto weusi lakini kwa wakatihuo huo wao (wanugu) hawako mstari we mbele kufanya hivyo. Niakuwa sielewi kabisa.
   
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Wanugu wengine roho stoki tu, wanakuwa na racial pride bila financial means.

  On the flip side hao wazungu wengine wanaweza kuwa child molesters kama Woody Allen, kwa hiyo kuna concern, really to everybody, but especially kwa watu wenye cultural backgrounds tofauti. Si rahisi kulea/ kulelewa na mtu wa rangi tofauti, watoto wengine hudata especially katika a race crazed society kama US.
   
 17. O

  Ogah JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Duuhh!!.......

  True true

  Duuuhh!.............eee bana eee wee misimamo yako kama Pundit na Bluray vile!
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280

  Hao tuna uhusiano nao kiukoo, Pundit Pazi wa Kisarawe, Bluray Mwinyi wa Mkuranga, na mimi Mwinyimkuu mrithi wa Bwagamoyo, familia moja.

  Mwinyi na Pazi naambiwa wanataka ku achieve orbit wawe wanakula chaza tu na kusikia mashauri huko kuksiko na internet.Mikoba waniachie mie.
   
 19. B

  Bull JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHILDREN ARE NOT FOR SALE

  Adaption ni unyama wakikatili unaofanywa zaidi na wazungu unafaa ulaaniwe, na ndio maana hata UNICEF hawaukubaliani nao kabisa, Tupunguze tabia yakuamini kuwa kila afanyacho mzugu nikizuri


  soma maana ya adaptions:

  Adoption orders
  Only a court can make an adoption order. The effect of the adoption order is that the birth parents no longer have any parental rights and responsibilities for their child. Those rights and responsibilities are given to the adoptive parents.

  Once the court has made an adoption order the child becomes a full member of the adoptive family. They take the surname of their adoptive parents and have the same rights and privileges as if they had been born to them. This includes the right of inheritance.


  Famili nyingi za weusi zinaishi na watoto wengine kwa kuwasaidia bila kuwanyang'nya biologica parents haki zao, unayoyaona yanafanyika Haiti ni unyama wala usiutamani utamaduni huu
   
 20. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ........African american akafanye adoption ya mtoto ni kitu adimu sana, hawa watu ndugu kwa ndugu tu kusaidia ni kasheshe, halafu akamchukue mtu baki. African american ni wachache sana wenye moyo wa utu, utamaduni wao sijui upoje. Maana hawana utamaduni wa kiafrica wala wa kizungu wapo wapo tu.
   
Loading...