I have no doubt, Dr Nchimbi will bounce back!

mawazotu

Senior Member
Apr 27, 2010
151
79
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena

Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..

Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Mpaka 2025??? Ana umri gani kwanza...
Umri wake siyo mkubwa he is 42 . So mpaka 2025 atakua 54 bado anaweza akawa na nafasi hiyo ya kupigani vikumbo

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena

Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..

Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Hao vijana ambao Nchimbi anaushawishi mkubwa ni wa wapi?
 
Emanuel Nchimbi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kabla ya kufukuzwa kazi na Rais Kikwete ndiye mtuhumiwa namba moja wa uhalifu dhidi ya binadamu.Mambo mengi maovu yamefanyika chini ya uongozi wake kama waziri! Tujikumbushe namna ambavyo jeshi la polisi limefanya uhalifu wa kutisha kwa kifo cha Mwangosi! Matukio tata ya mabomu Arusha,kutekwa kwa Kibanda na mengine mengi ambayo yamegubikwa na sintofahamu kubwa.Hata hii operesheni "tokomeza" watuhumiwa wakuu ni wizara ya mambo ya ndani!

Tusubiri waziri ambaye atachukua hii nafasi atafanya nini kurejesha imani? Pia ni matumaini yetu kuona Nchimbi anachukuliwa hatua za kisheria pamoja na watuhumiwa wengine wa uhalifu.
Nini itakuwa hatima ya Mwigulu Nchemba? Nadhani huu ni muda wa kuwa serious na kurejesha utumishi unaotii na kuheshimu haki za binadamu!

"HATUWEZI KUKUBALI KUENDELEA KUWA NA WATUMISHI WANAOFANYA UHALIFU 'with impunity' DHIDI YA BINADAMU NDANI YA TANZANIA"!
 
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena

Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..

Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Mkuu nakuunga mkono. Dr. Nchimbi ni mzee wa mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Amepata ajali ya kisiasa lakini nadhani ataenda kujiponya majeraha na kurudi; for sure he will bounce back.
 
Wengine wametolewa kafara ila huyu ndo MTUHUMIWA.Mwambie ndoto za urais sasa akaotee LIZABONI.
 
nimfurahi sana huyu jamaa kutimuliwa...katizameni jimbo lake la Songea lilivyochoka..
 
Mkuu nakuunga mkono. Dr. Nchimbi ni mzee wa mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Amepata ajali ya kisiasa lakini nadhani ataenda kujiponya majeraha na kurudi; for sure he will bounce back.

Kwa kimipango Dr Nchimbi hata Mh. Nchemba hatii mguu... Tusubiri tu

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Mkuu nakuunga mkono. Dr. Nchimbi ni mzee wa mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Amepata ajali ya kisiasa lakini nadhani ataenda kujiponya majeraha na kurudi; for sure he will bounce back.

Hiyo mipango imesaidia nini hapo wizarani so far????!!!!
Tunakoendea haya ndio yatakuwa maisha ya kawaida ukizingua fasta unachomoka sasa badala ya kuwa na sifa ya mipango mumshauri aweke hiyo mipango katika vitendo ndio atadumu ka sivyo mnampotosha hadharani!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom